Nimetokea kumpenda shemeji yangu sana

Nimetokea kumpenda shemeji yangu sana

Mapenzi ni upofu kwa kweli na hii imenifanya kua mtumwa wa mapenzi ..mdogo wa mume wangu kiukweli ni HB na ni mtaratibu sana kwa kweli kila nimuonapo nimetokea kuumia moyo sana na kumpenda ghafla nashindwa nimtege vipi aingie kwenye anga zangu maana alivyo tuu inaonekana mchezo anaueza sana

Natamani sana kucheza nae mchezo mmoja tuu ambao ni ngumu kufanya na hub wangu...naumia kiukweli jinsi ya kumtega na nimfaidi kwa kweli...nitumie njia gani aelewe na je akikataa si nitaiweka ndoa yangu mashakani?
...Haiwezekani ukawa unafikiria kwa kutumia ubongo... Labda kitu kingine
 
Ndugu Wajumbe.
Muwe mnapitia post za nyuma/zilizo tangulia then utoe mawazo yako..
Mmesha pewa angalizo huyu Si 'ke: ni 'me/shoga'..
Hivyo hakuna haja ya kuendelea kuhukumu dada/wake zetu...
 
Mapenzi ni upofu kwa kweli na hii imenifanya kua mtumwa wa mapenzi ..mdogo wa mume wangu kiukweli ni HB na ni mtaratibu sana kwa kweli kila nimuonapo nimetokea kuumia moyo sana na kumpenda ghafla nashindwa nimtege vipi aingie kwenye anga zangu maana alivyo tuu inaonekana mchezo anaueza sana

Natamani sana kucheza nae mchezo mmoja tuu ambao ni ngumu kufanya na hub wangu...naumia kiukweli jinsi ya kumtega na nimfaidi kwa kweli...nitumie njia gani aelewe na je akikataa si nitaiweka ndoa yangu mashakani?
NENDA KAFANYE KAZI ACHA KUWAZA NGONO UTAKUFA MASIKINI. .KWANI NGONO INALETA CHAKULA MEZANI? Badilisha mawazo potofu shika jembe umalime. ..
 
Ndugu Wajumbe.
Muwe mnapitia post za nyuma/zilizo tangulia then utoe mawazo yako..
Mmesha pewa angalizo huyu Si 'ke: ni 'me/shoga'..
Hivyo hakuna haja ya kuendelea kuhukumu dada/wake zetu...
Asante sana. ..j2 njema
 
Mapenzi ni upofu kwa kweli na hii imenifanya kua mtumwa wa mapenzi ..mdogo wa mume wangu kiukweli ni HB na ni mtaratibu sana kwa kweli kila nimuonapo nimetokea kuumia moyo sana na kumpenda ghafla nashindwa nimtege vipi aingie kwenye anga zangu maana alivyo tuu inaonekana mchezo anaueza sana

Natamani sana kucheza nae mchezo mmoja tuu ambao ni ngumu kufanya na hub wangu...naumia kiukweli jinsi ya kumtega na nimfaidi kwa kweli...nitumie njia gani aelewe na je akikataa si nitaiweka ndoa yangu mashakani?
HAPA duniani mambo yote yapo,ukitaka kuua ruksa,kubaka ruksa,kuiba ruksa,kuzini ruksa,sasa kama unamtamani shemeji yako huna haja kuuliza watu ni namna gani utende dhambi.Tenda dhambi usubirie hukumu zake.
 
Malipo ni hapa hapa duniani. ..waendelee tu wakidhani ni sifa. ..
 
Madume kujifanya majike humu ndani imekuwa kawaida siku hizi.
 
Mungu wangu tafadhari poteza walau siku moja kwenye taifa letu.Tunapigwa kuanzia njaa, ukame hata ubongo?
 
Wake za watu siku hiz wanaliwa kiulainii na wanajua Kuhonga Balaaa acheni waliwe 0713 na vijana wanalivyo mafundi wanawapagawishaje mixer kuwalamba 0713
 
Mchezo mmoja ambao ni mgumu kufanya na mumeo obvious ni 'kuliwa choo'.

Mwanamke mpumbavu huaribu nyumba yake yeye mwenyewe. Pambana mkuu kuvunja vunja tofali zote, ikishuka chini uje na uzi tutakuchangia hela ya zege na misumari.
Ha ha haaa naninaaaaa, umempa zote!
 
Back
Top Bottom