cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 122,266
- 201,315
Huyo watu wako nae winja winjaa. Kila akiibuka, anazamishwa tenaa chubwiiiii.Tuko naye akijichanganya tunamuitia mods ๐น๐น
๐๐๐๐๐
Huyo watu wako nae winja winjaa. Kila akiibuka, anazamishwa tenaa chubwiiiii.Tuko naye akijichanganya tunamuitia mods ๐น๐น
Haya wifi yangu nani? Nilivyo na shauku ya kupiga vigeregere ariririiiiiiiiiiiiiiiiiiii ๐น๐นNidondoke mara ngapi dada yangu..? ๐
๐๐๐๐๐๐Haya wifi yangu nani? Nilivyo na shauku ya kupiga vigeregere ariririiiiiiiiiiiiiiiiiiii ๐น๐น
Na hapo ana kiu kweli ya kucomment ๐นHuyo watu wako nae winja winjaa. Kila akiibuka, anazamishwa tenaa chubwiiiii.
๐๐๐๐๐
Uduguu andaa sare kaka yangu mdogo anataka kutangaza uchumba ๐น๐๐๐๐๐๐
Hayo tuachane nayo tu ndugu yangu, ni huzuni ๐๐Haya wifi yangu nani? Nilivyo na shauku ya kupiga vigeregere ariririiiiiiiiiiiiiiiiiiii ๐น๐น
Huyu tunaye mpk three yrs ipite ndo arudi jukwaani..!! ๐น๐นUtaniua wewe๐๐๐
๐คฃ๐คฃ๐คฃNimecheka kweli ๐Vijukuu vya farao vimegoma kuitwa mjukuu ๐น๐น๐น
๐น๐น๐น Huzuni ya nini tena?Hayo tuachane nayo tu ndugu yangu, ni huzuni ๐๐
Labda, ngoja tuone๐Amemchokoza tu mama wa watu....lakini mapenzi hayana umri...inaweza kuwa couple ya kutisha kitaa
Nitakwambia tu, Lazima nikwambie, dada mwenyewe nina wewe tu, nitakufichaje sasa ๐๐น๐น๐น Huzuni ya nini tena?
Hebu ongea kwanza nikusaidie usije kujitundika bure..!!
Baada ya kugundua bibi yako? ๐นKwa nilio wakwaza nisameheeni nilikua nachangamsha jukwaa
Nasubiri huyo km kibuyu nikukanye mapema uachane naye..!! ๐นNitakwambia tu, Lazima nikwambie, dada mwenyewe nina wewe tu, nitakufichaje sasa ๐
Dah๐Baada ya kugundua bibi yako? ๐น
Sawa ngoja nijipangu uko sahihi bossKwakazi Yako ya udalali hiyo kajipange