He! Kunani jamani? Mbona hata Yesu anampenda upeo? Hata alikufa kwa ajili yake.Yesuuu!
Mnzyuu! Amkenyi iho iryeny' na kulya.
He! Kunani jamani? Mbona hata Yesu anampenda upeo? Hata alikufa kwa ajili yake.Yesuuu!
Mkuu me mpira hapa haupandi nawaza huu upendo wng afu nije nile kibuti inakuajeMkuu cha ajabu na Zamalek wametoka napata mashaka kama kutakuwepo na timu ya kumtoa simba yaani nimechanganyikiwa kabisa naiona aibu ileeeeeeee inakuja
Nmefurah amekuja ila reply yake dah🤣🤣🤣 Ila kipenzi bhana,umekuja sasa🤭
Wanataka hela za mafaoNyie wajukuu mna nini lakini ?
Nimeona tu kindly remove this rubbish...Mkuu me mpira hapa haupandi nawaza huu upendo wng afu nije nile kibuti inakuaje
😞@moderators kindly remove this rubbish here.
Daah aiseeHuyo ni bibi mtu mzima wewe ni mjukuu kwake
Kuwa na adabu jombaa
😓😓Nimeona tu kindly remove this rubbish...
Hapana sio kweliWanataka hela za mafao
Hapana kupitia hapa hapa JFUmeyajuaje hayo yote kuhus yeye ama unaishinae mtaa m1
Pole mkuu tafuta mwingine!
Tutumie hizi mvua kwa kilimo ili tuweze kujikwamua kiuchumiHapana sio kweli
Idadi ya vichaa inazidi kuongezekaWakuu kwema?
Niende direct kuna member humu JF anaitwa mamdenyi nimetokea kumpenda sana nimekufa nimeoza wakuu. Ana hekima, busara, mpole, mtaratibu hana makuu.
Naimani hajaolewa naomba mimi nikuoe mamdenyi, nitakuwa mume mwema na mtiifu kwako.
You have 100% of my support. The boy is misbehaving now.@moderators kindly remove this rubbish here.
Pambania kombe Hilo mkuuHapana kupitia hapa hapa JF
Nidondoke mara ngapi dada yangu..? 😂Nasubiri na wewe nikuone utadondokea kwa nani niandae sare za vijora, wifi shughuli ninayo…!! 😹😹😹
Tuko naye akijichanganya tunamuitia mods 😹😹Nahisi ni yeye kabisaa, 😂😂😂😂