The LOST SYMBOL
Member
- Jun 21, 2013
- 34
- 9
uwezo wako wa kufikiri
ndio umefkia mwisho kwamba
vitendo ni kubaka tu?pole!!
hebu mwaga maujuzi
uwezo wako wa kufikiri
ndio umefkia mwisho kwamba
vitendo ni kubaka tu?pole!!
Yaani wote mnafanya kazi ya mungu harafu unataka kumtumbukiza mwenzio kwenye dhambi ya Uzinifu?na ndio umeanza kwaya tu ..usimtie mwenzio majaribuni
Ama wataka future husband lol
MALAYA mkubwa wewe....
Unadhani we ukiwa malaya ndo na wengine watakuwa hivyo.
Kafilie mbali na umalaya wako peke yako.
Unasali kwa Mwingira nini?
kaaah... mwanamke kumtongoza mwanaume.... !!!! in Africa...!!?? ww utakuwa MALAYA WALA SIFICHII....
Unapomyooshea mwenzio kidole kimoja vitatu vinakuelekea wewe... Je, wewe ni msafi kiasi gani? Mwanamke nae ana uhuru wa kuongea na kupata atakacho.MALAYA mkubwa wewe....
Bado una mtazamo wa kizamani bro... Mwanamke nae ana hisia km ulivyo wewe... Nimewahi kushuhudia ndoa iliyotokana na matunda ya mdada kumuaproach mkaka... Aliyethubutu kukwambia ni kweli amekupenda... Achana na mfumo dume kijana
Habari wana jf, hivi karibuni nimejiunga na kwaya, kuna kaka mmoja nimetokea kumpenda lakini nashindwa nianzie wapi kumwambia yaliyo ndani ya moyo wangu. Hebu nipeni ujuzi wana jf, mwanamke unaanzaje kumwambia mwanaume unampenda, natamani tuwe tu marafiki wa kawaida wa kuchart not otherwise, sasa nitumie njia gani kumwambia, wote ni viongozi kwenye jumuiya lakini dah nashindwa pa kuanzia.
sasa si ungesema kweli kuwa una hisia nae sio kutwambia urafiki wa kawaida na mwenzio ana mchumba tayari then ukaja kumvurugia mwenzio mipango yake,.usimake conclusion ya hivyo kumbuka kuwa mimi ni binadamu nina hisia pia.
Katika hali ya kawaida urafiki hauombwiMi nawaza kwani maombi ya urafiki wa kawaida kabisa huwa yana kona kona zote hizi?!
Akatae kwa nn?! umalaya kivipi?
Ama labda kuna kitu hatujaelewa?!
Habari wana jf, hivi karibuni nimejiunga na kwaya, kuna kaka mmoja nimetokea kumpenda lakini nashindwa nianzie wapi kumwambia yaliyo ndani ya moyo wangu. Hebu nipeni ujuzi wana jf, mwanamke unaanzaje kumwambia mwanaume unampenda, natamani tuwe tu marafiki wa kawaida wa kuchart not otherwise, sasa nitumie njia gani kumwambia, wote ni viongozi kwenye jumuiya lakini dah nashindwa pa kuanzia.
Habari wana jf, hivi karibuni nimejiunga na kwaya, kuna kaka mmoja nimetokea kumpenda lakini nashindwa nianzie wapi kumwambia yaliyo ndani ya moyo wangu. Hebu nipeni ujuzi wana jf, mwanamke unaanzaje kumwambia mwanaume unampenda, natamani tuwe tu marafiki wa kawaida wa kuchart not otherwise, sasa nitumie njia gani kumwambia, wote ni viongozi kwenye jumuiya lakini dah nashindwa pa kuanzia.
Habari wana jf, hivi karibuni nimejiunga na kwaya, kuna kaka mmoja nimetokea kumpenda lakini nashindwa nianzie wapi kumwambia yaliyo ndani ya moyo wangu. Hebu nipeni ujuzi wana jf, mwanamke unaanzaje kumwambia mwanaume unampenda, natamani tuwe tu marafiki wa kawaida wa kuchart not otherwise, sasa nitumie njia gani kumwambia, wote ni viongozi kwenye jumuiya lakini dah nashindwa pa kuanzia.
Hata mimi sijaona kosa la huyu dada bado hata apewe adhabu ya kukemewa hivi, kwani upendo hua ni kwetu tu wanaume? Anyway, kuna jamaa yangu 1 aliwahi kupendwa na mdada 1 kwenye kwaya hivyo hivyo, yule dada (hakuwahi kua na scandal yeyote ya kutoka na men hata 1 pale) akaamua kumtokea men wa watu, jamaa akajizungusha and then aliamua kuhamia Kenya kama mwaka 1 hivi, aliporudi yule mdada bado yupo tu, waliisha oana na sasa wana watoto 2, katoto kamoja hua kanatangazaga hata matangazo ya biashara kwenye TV ya super Brand No 1sasa unasema ashindwe kwa jina la yesu, kwani wachumba huwa wanapatikana wapi kama sio kwenye social gathering!!!!!!!!!!!au wewe ungependa akatafute mchumba club au bar?kuna kosa gani mtu kumpenda mwana kwaya mwenzie jamani?