Nimetokea kumpenda huyu kaka

Nimetokea kumpenda huyu kaka

Habari wana jf, hivi karibuni nimejiunga na kwaya, kuna kaka mmoja nimetokea kumpenda lakini nashindwa nianzie wapi kumwambia yaliyo ndani ya moyo wangu. Hebu nipeni ujuzi wana jf, mwanamke unaanzaje kumwambia mwanaume unampenda, natamani tuwe tu marafiki wa kawaida wa kuchart not otherwise, sasa nitumie njia gani kumwambia, wote ni viongozi kwenye jumuiya lakini dah nashindwa pa kuanzia.

nijuavyo waimba kwaya sio mapadre ama maaskofu.mfungukie.lakini lengo liwe kuoana.mwambie napenda sana uje kuwa mume wangu kama huna ahadi na mtu.
 
Habari wana jf, hivi karibuni nimejiunga na kwaya, kuna kaka mmoja nimetokea kumpenda lakini nashindwa nianzie wapi kumwambia yaliyo ndani ya moyo wangu. Hebu nipeni ujuzi wana jf, mwanamke unaanzaje kumwambia mwanaume unampenda, natamani tuwe tu marafiki wa kawaida wa kuchart not otherwise, sasa nitumie njia gani kumwambia, wote ni viongozi kwenye jumuiya lakini dah nashindwa pa kuanzia.
Kama huna mume unaweza kuanza kwa kumuhoji kiufundi kama ana mke au GF, ukijua hana mahusiano yeyote basi unaweza kuanzia hapo kwa namna ambavyo utaweza. Ila ni vizuri kwanza kujua hana mahusiano....
 
Hakika huyu ni pepo,aliyekuingia akakupa msukumo wa kujiunga na kwaya ili afanikishe nia yake ya kuvuruga na kuharibu kwaya.pepo limefanikiwa kuingia kwenye kwaya sasa linaanza kufanya kazi yake nakuamuru kwa jina la Yesu wa Nazareti toka ndani ya mtu huyu toka ndani ya kwaya kwakua tumegundua nia yako,wewe jini maimuna(pepo la ukahaba)toka kwa jina la Yesu
Habari wana jf, hivi karibuni nimejiunga na kwaya, kuna kaka mmoja nimetokea kumpenda lakini nashindwa nianzie wapi kumwambia yaliyo ndani ya moyo wangu. Hebu nipeni ujuzi wana jf, mwanamke unaanzaje kumwambia mwanaume unampenda, natamani tuwe tu marafiki wa kawaida wa kuchart not otherwise, sasa nitumie njia gani kumwambia, wote ni viongozi kwenye jumuiya lakini dah nashindwa pa kuanzia.
 
Na ndicho ninachoogopa, mbaya zaidi anategemea kufunga ndoa miezi michache ijayo.
Nimeshaanza kukuuliza kama yupo kwenye mahusiano kumbe anatarajia kufunga ndoa karibuni!!!!
Kama ni hivyo endelea kumuhusudu na kujifanya rafiki lakini usimwambie chochote, na wala usimueke akilini kwako, kwani ni kawaida sana kumpenda mtu mwengine hata kama wewe una wa kwako au hata ni mali ya mtu, ndio maumbile yalivyo... ila tunapaswa kujichunga na kujiheshimu..
 
Habari wana jf, hivi karibuni nimejiunga na kwaya, kuna kaka mmoja nimetokea kumpenda lakini nashindwa nianzie wapi kumwambia yaliyo ndani ya moyo wangu. Hebu nipeni ujuzi wana jf, mwanamke unaanzaje kumwambia mwanaume unampenda, natamani tuwe tu marafiki wa kawaida wa kuchart not otherwise, sasa nitumie njia gani kumwambia, wote ni viongozi kwenye jumuiya lakini dah nashindwa pa kuanzia.

Umeambiwa JF kuna shetani wa kukufundisha kutenda dhambi? Mwombe shetani akusaidie. Atakusaidia kama ifuatavyo: Mwombe huyo kaka namba ya simu, mtumie sms hii' kila aombaye kwa upendo hupewa' halafu umtumie hii' samahani nimekosea namba'. Utaona mwanaume rijali alivyo.
 
Kupenda sio umalaya mkuu,ni vema ukae kimya kama huna mchango wa kumsaidia mleta mada!

My dear usipomuelewa mtu ni vyema ukauliza.

Ni wapi nimesema /kuimply hayo uloongea ndugu yangu?
Mie nimemjibu huyo aliyemuita mtoa maada malaya. (unaweza kurudia kuangalia niliyemquote natumai utanielewa)
So, hayo niloyaandika sikumwambia mtoa maada bali nimemjibu commentantor fulani hapo juu.

Hope umenielewa.
 
Katika hali ya kawaida urafiki hauombwi
friend requests are for social media tu
Ila huyu dada anaonesha kuna kitu kinamziwia
Ndio nataka kwanza kuelewa ni kitu gani?

Ndio maana mimi napaata shaka kama ni urafiki wa kawaida tu! Labda na tuhisia twingine tupo ndani hapo, afu si umeona anasema jamaa yuko karibu kuoa! Kama ungekua urafiki wa kawaida tu, that could have been even easier, anajua anaye mtu, tena anataka kumuoa so friends it is, na harusi anachangia kuweka msisitizo!
 
Habari wana jf, hivi karibuni nimejiunga na kwaya, kuna kaka mmoja nimetokea kumpenda lakini nashindwa nianzie wapi kumwambia yaliyo ndani ya moyo wangu. Hebu nipeni ujuzi wana jf, mwanamke unaanzaje kumwambia mwanaume unampenda, natamani tuwe tu marafiki wa kawaida wa kuchart not otherwise, sasa nitumie njia gani kumwambia, wote ni viongozi kwenye jumuiya lakini dah nashindwa pa kuanzia.

Usijali, najua unanipenda mimi. Ni in box tu na tutaanza mawasiliano....:mwaaah:
 
Ndio maana mimi napaata shaka kama ni urafiki wa kawaida tu! Labda na tuhisia twingine tupo ndani hapo, afu si umeona anasema jamaa yuko karibu kuoa! Kama ungekua urafiki wa kawaida tu, that could have been even easier, anajua anaye mtu, tena anataka kumuoa so friends it is, na harusi anachangia kuweka msisitizo!

Upo sahihi mkuu, urafiki hauombi na njia ya kuuanzisha nikushirikiana tu katika nyanja za maisha! huyu demu anampenda kimapenzi ndo maana kigugumizi kinamjia sawa kabisa na mwanaume anapotaka kutongoza hua anajiyliza nianzie wapi?

Hapo nafikiri jahazi la wanakwaya karibu litazama maana wameanza kulitafuna wenyewe, tutegemee litatoboka tu na maji yataingia ndan!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom