Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,550
- 3,092
Na ndicho ninachoogopa, mbaya zaidi anategemea kufunga ndoa miezi michache ijayo.
Ama kweli!!!! wewe una lako jambo
Na ndicho ninachoogopa, mbaya zaidi anategemea kufunga ndoa miezi michache ijayo.
- acha uongo na unamdanganya nani?
- toka lini urafiki wa kawaida huwa una hofu ndani yake?
- sema ukweli kwamba unataka kuzini naye.
- kumbuka mshahara wa dhambi ni mauti.
- mwombe mungu akuwezeshe kushinda hiyo kiu kali ya kugegedwa na huyo kaka.
Mbona hueleweki binti yetu, mara ya kwanza ulisema unataka wa kuchat naye tu, sasa hivi umekuja na hoja ya kuanza kumuonea wivu kwa mbali kwa sababu anatarajia kuoa hivi karibuni.Na ndicho ninachoogopa, mbaya zaidi anategemea kufunga ndoa miezi michache ijayo.
Mimi pia naimba kwaya kama vipi njoo ujiunge na kwaya yetu kanisa la mt. Petro.Habari wana jf, hivi karibuni nimejiunga na kwaya, kuna kaka mmoja nimetokea kumpenda lakini nashindwa nianzie wapi kumwambia yaliyo ndani ya moyo wangu. Hebu nipeni ujuzi wana jf, mwanamke unaanzaje kumwambia mwanaume unampenda, natamani tuwe tu marafiki wa kawaida wa kuchart not otherwise, sasa nitumie njia gani kumwambia, wote ni viongozi kwenye jumuiya lakini dah nashindwa pa kuanzia.
Habari wana jf, hivi karibuni nimejiunga na kwaya, kuna kaka mmoja nimetokea kumpenda lakini nashindwa nianzie wapi kumwambia yaliyo ndani ya moyo wangu. Hebu nipeni ujuzi wana jf, mwanamke unaanzaje kumwambia mwanaume unampenda, natamani tuwe tu marafiki wa kawaida wa kuchart not otherwise, sasa nitumie njia gani kumwambia, wote ni viongozi kwenye jumuiya lakini dah nashindwa pa kuanzia.
toka shetani, au kwaya ya TOT nini ila kama ya kuhubiri neno inili na kumwimbia mungu, ushindwe katika jina la yesu
Habari wana jf, hivi karibuni nimejiunga na kwaya, kuna kaka mmoja nimetokea kumpenda lakini nashindwa nianzie wapi kumwambia yaliyo ndani ya moyo wangu. Hebu nipeni ujuzi wana jf, mwanamke unaanzaje kumwambia mwanaume unampenda, natamani tuwe tu marafiki wa kawaida wa kuchart not otherwise, sasa nitumie njia gani kumwambia, wote ni viongozi kwenye jumuiya lakini dah nashindwa pa kuanzia.
Habari wana jf, hivi karibuni nimejiunga na kwaya, kuna kaka mmoja nimetokea kumpenda lakini nashindwa nianzie wapi kumwambia yaliyo ndani ya moyo wangu. Hebu nipeni ujuzi wana jf, mwanamke unaanzaje kumwambia mwanaume unampenda, natamani tuwe tu marafiki wa kawaida wa kuchart not otherwise, sasa nitumie njia gani kumwambia, wote ni viongozi kwenye jumuiya lakini dah nashindwa pa kuanzia.
Habari wana jf, hivi karibuni
nimejiunga na kwaya, kuna kaka mmoja nimetokea kumpenda lakini nashindwa
nianzie wapi kumwambia yaliyo ndani ya moyo wangu. Hebu nipeni ujuzi
wana jf, mwanamke unaanzaje kumwambia mwanaume unampenda, natamani tuwe
tu marafiki wa kawaida wa kuchart not otherwise, sasa nitumie njia gani
kumwambia, wote ni viongozi kwenye jumuiya lakini dah nashindwa pa
kuanzia.