Rich Woman
JF-Expert Member
- Dec 18, 2012
- 867
- 558
mtungie pambio zur la kusifu halafu muimbie
yn aache kutunga mapambio ya kumsifu Mungu atunge la kumsifu mkaka kisa kampenda hapo ipo shuguli...
mtungie pambio zur la kusifu halafu muimbie
kwanini unashindwa kumwambia? Unahisi ukimwambia nini kitatokea?
Unaogopa akuone malaya? unaogopa atakataa ombi lao? au nini hasa?
Habari wana jf, hivi karibuni nimejiunga na kwaya, kuna kaka mmoja nimetokea kumpenda lakini nashindwa nianzie wapi kumwambia yaliyo ndani ya moyo wangu. Hebu nipeni ujuzi wana jf, mwanamke unaanzaje kumwambia mwanaume unampenda, natamani tuwe tu marafiki wa kawaida wa kuchart not otherwise, sasa nitumie njia gani kumwambia, wote ni viongozi kwenye jumuiya lakini dah nashindwa pa kuanzia.
mh!!kumwambia
mi naona ni ngumu, vitendo ndio njia nzuri kwa mwanamke kufikisha
ujumbe!!
Na ndicho ninachoogopa, mbaya zaidi anategemea kufunga ndoa miezi michache ijayo.
Habari wana jf, hivi karibuni nimejiunga na kwaya, kuna kaka mmoja nimetokea kumpenda lakini nashindwa nianzie wapi kumwambia yaliyo ndani ya moyo wangu. Hebu nipeni ujuzi wana jf, mwanamke unaanzaje kumwambia mwanaume unampenda, natamani tuwe tu marafiki wa kawaida wa kuchart not otherwise, sasa nitumie njia gani kumwambia, wote ni viongozi kwenye jumuiya lakini dah nashindwa pa kuanzia.
Thats just dumb ....kaaah... mwanamke kumtongoza mwanaume.... !!!! in Africa...!!?? ww utakuwa MALAYA WALA SIFICHII....
Thats just dumb ....
Sorry, thats the only word I can think of.
Na ndicho ninachoogopa, mbaya zaidi anategemea kufunga ndoa miezi michache ijayo.
MALAYA mkubwa wewe....
lOl, I guess I was right.... that*s perse prostitution.... even I don*t have to think tht.... ur promoting prostitution .... mwanaume ndio ANA ERECT kisha anaingiza ndio sex inatokea...sasa demu
aki erect then mwanaume hajapenda NO SEX HAPO.... a MAN will remain a man..donor & mtongozaji.. & a woman will remain a womain... receiver na mtongozwaji...period....!!! na kama hutaki unataki wanawake wawatongoze wanaume MUULIZE MUNGU aliyeumba SIO MM ....!!!!♡♥♥♥
... that*s prostitution per se. ... even I don*t have to think tht.... ur promoting prostitution .... mwanaume ndio ANA ERECT kisha anaingiza ndio sex inatokea...sasa demu
aki erect then mwanaume hajapenda NO SEX HAPO.... a MAN will remain a man..donor & mtongozaji.. & a woman will remain a womain... receiver na mtongozwaji...period....!!! na kama hutaki unataki wanawake wawatongoze wanaume MUULIZE MUNGU aliyeumba SIO MM ....!!!!♡♥♥♥
ambake nini?
Mmewahi kumuhukumu! Hajasema anamtaka kimapenzi, amesema anataka awe rafki ake!! Angeweza go ahead bila kuomba ushauri, lakini binafsi ame-doubt nafsi yake huo urafiki wa kawaida unaanzwaje, akaja kwenu "great thinkers" kuomba ushauri!! Umalaya uko wapi?! Na isitoshe, si ajabu mdada wa watu ni mdogo tu na mgeni kwenye urafiki na wakaka, ndio maana akadoubt nafsi yake nakuwauliza!! Msimparamie, hajasema anataka mapenzi!!
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
lOl, I guess I was right.
Tradition vs. Logic.
Kwa sababu haupo handsome.... ur guessing...wat....!!?? lmao...I'm real...!!!
... if u think mapenzi yana LOGIC or FORMULA ur lost 101%.... then ur in a day dream..... this isn't maths... is it...??
... MAPENZI NI MAPENZI..... no definition zaidi ya hapo..... Ni fumbo....na MWANAUME NDIYE ATAMTONGOZA MWANAMKE .... full stop...!!!!