Habari wana jf, hivi karibuni nimejiunga na kwaya, kuna kaka mmoja nimetokea kumpenda lakini nashindwa nianzie wapi kumwambia yaliyo ndani ya moyo wangu. Hebu nipeni ujuzi wana jf, mwanamke unaanzaje kumwambia mwanaume unampenda, natamani tuwe tu marafiki wa kawaida wa kuchart not otherwise, sasa nitumie njia gani kumwambia, wote ni viongozi kwenye jumuiya lakini dah nashindwa pa kuanzia.