Amenifanya kama 'spea tairi' wadhani nitamsamehe!!!!
Asiye Kupenda USIACHANE NAE Bali nikuendelea KUKOMAA Mpaka Mwisho Uwe Mzuri.MIMI NITAKOMAA Maana Upendo Wangu Umekuwa Mwingi Kwake Kama Nikiongea Naye Tu Humu Najisikia Raha Sijui NIKIONANA NAE LIVE ITAKUWAJE kwa kweli ----- anautesa moyo wangu sana .Mpaka sasa sijaona mrembo yoyote atakayeweza kuziba pengo lake ndio maana naendelea kukomaa hata kama hanitaki nikiamini ya kwamba huenda moyo wake ukabadilika na akaanza kunipenda kama navyo mpenda.
hahahahaha sasa hata jina kaogopa kutaja
Hata na wewe ni mstaarabu kiasi lakini ---------- ni MSTAARABU ZAIDI KUSHINDA Warembo Wote Humu Jamvini .Chakusikitisha-------- Hanitaki Tena.Basi nikasema kwa kuwa ------ hanitaki basi nije kwako na SASA NA WEWE UNAANZA KUNISUMBUA KAMA ----- na kwambia I Love You Hautaki Kuniambia I Love You Too.SIJUI NA WEWE UNAMPANGO WA KUNIACHA KAMA -------- alivyo niacha.
HAPANA KABISA kumbuka kabla sijaamua kuja kwako nilikuwa nikimfuatilia D.zarde .Nilianza kumfuatilia D.zarde baada ya D.zare kunipiga chini ndo ni kaamua nije kwako LAKINI KIUKWELI hata na wewe nakupenda lakini D.zarde Nampenda zaidi kama sitafanikiwa kumpata D.zarde basi naomba tuuboreshe upendo wetu na punguza kupenda hela ukifanya hivyo huenda nitakuja kumsahau D.zarde kabisa.
...akitaja ndo atapeperusha ndege mazimaaa!!hahahahaha sasa hata jina kaogopa kutaja
KWA MICHANGO YAKE au kwa comment zake na si kingine.
Shauri ako we na hilo likichwa sijui la nini ndo maana sikupendi....
weka avatar ya handsome uone nitakavokuhangaikia pm
chochote kati ya ulivyovitaja
kuna nini hapa mbona sielewi
hahahaaaaaaaaaa.... we endelea huko huko... mie huku nshakuhama.. naenda kwa Himidini ingawa sielewi namuanzaje....
unamoyo
HAPANA KABISA kumbuka kabla sijaamua kuja kwako nilikuwa nikimfuatilia D.zarde .Nilianza kumfuatilia D.zarde baada ya D.zare kunipiga chini ndo ni kaamua nije kwako LAKINI KIUKWELI hata na wewe nakupenda lakini D.zarde Nampenda zaidi kama sitafanikiwa kumpata D.zarde basi naomba tuuboreshe upendo wetu na punguza kupenda hela ukifanya hivyo huenda nitakuja kumsahau D.zarde kabisa.
Kwa aina hii ya uandishi wala hutampata huyo mwanamke/binti! Matatizo kibao, uwe unaacha nafasi kilka unapoanza sentensi mpya (baada ya nukta), yaani hadi napata makengeza! Na ni haki PM zako hazikumvutia, lol! Sijui ni King'asti, Evelyn Salt, Smile, mwallu?