SAYANSIKIMU
JF-Expert Member
- Feb 27, 2014
- 1,132
- 260
- Thread starter
- #61
Mmh!! umejuaje?
Last edited by a moderator:
Wengine witumiwa PM haziingii au hazijibiwi sasa nitatumaje.Na kuhusu kumtumia hela nimeshindwa maana hataki kunipa contact zake.
Ndo hivo sasa na wengine wakiwadondokea watu usiwaseme....
ni nani huyo nikupe contact zake.....
Hukujui PM????????
Ushuhuda
D.....eIna maana na wewe humjui? mbona unamjua tu tatizo kanikataza ku mention ID yake na niki mention ID yake naongeza uadua lakini jina lake lina anzia na D na kuishia na e au jina lake anaitwa D-------e
Hivi upo serious mkuu SAYANSIKIMU?
Hata mimi sijajua kwa sababu gani NIMEJIKUTA TU NAMPENDA SANA HUYU MDADA Najikuta na muwaza waza moyoni vitu vingine ni vigumu kueleza kwa kweli.
kuna baadhi ya mambo ni magum kuelezea lakin huwa yanatokea pia
D.....e
Domozege?
Habariii ganii naona umeniitaa
Sorry unampenda mtu kwa avatar? User name yake? michango? au nini?
toka pm hadi hadharani..Hahaha,maajabu hayataisha duniani...
Kakataa Kuniambia Contact Zake sasa nitamtumiaje.
Sorry unampenda mtu kwa avatar? User name yake? michango? au nini?
Hapana anaitwa Di---------de
SAYANSIKIMU amekufungukia; limoyo lake limekudondokea, tafadhali itimize haja ya moyo wake.....