Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,232
- 26,753
Lakini ndege wafananao ndo warukao pamoja..naamini ni pacha wako huyo.
hamna boss tunaendana kitu kimoja tu vingine hakuna jambo
Lakini ndege wafananao ndo warukao pamoja..naamini ni pacha wako huyo.
hamna boss tunaendana kitu kimoja tu vingine hakuna jambo
Dinazarde kila nikiona ID yako humu najikuta nafurahi naburudika kwa kweli na kusahau shida zangu.Nahisi dina utakuwa unakitu special maalumu kwa ajili yangu tu.we fikiria kila nikiona ID yako nafurahi sasa itokee siku tukutane live sijui nipata mafuraha mengi Kiasi Gani. Naomba Basi Jina La Akaunti Yako Ya Facebook Au Uniruhusu Nikutumie PM angalau moja tu kwa siku na uwe unajibu Nahitaji.NAKUAHIDI UKINIRUHUSU PM au FB tutaongea mambo ya MAANA TU .NAKUOMBA UNIRUHUSU My Best Friend Dinazarde Nawasilisha.
Ewe ------- uvumilivu umenisha nimeamua kukuambia wazi kabisa ya kwamba ninakupenda.Muda mwingi nimekuwa nakufuatilia nakufanya mambo mbalimbali ili uniweke moyoni mwako lakini sijafanikiwa .Na sasa hivi nimekuwa kero kwako hutaki kabisa kuongea na mimi.Mrembo--------ina maana wewe unachukia kupendwa? Kwa nini unanifanyia hivi? mbona unanifanyia mbona mwanzoni tulikuwa tunazungumza vizuri tu kwa kipindi hiki unanifanyia hivi sio vizuri hivyo mimi nakupenda ,nakufuatilia ,nakufikiria lakini nakushangaa mwenzangu kama vile huna mpango na mimi kuwa na huruma basi nifikiriefikirie basi ewe mrembo----- kama mimi navyo kufikiria hakika mimi nakupenda naomba na wewe unipende kama kunasehemu nilikuuzi nisamehe kwa kweli ------ nakupenda sana.Nimesita hata kukutaja nisije nikazidi kukuuzi zaidi ukani report abuse nikapigwa banned .LAKINI NAAMINI UJUMBE WANGU UTAKUWA UMEUPATA .naomba tusameheane na tuuboreshe uhusiano wetu.Nakutakia jioni njema-------
haya uliyependwa pendeka basi
Halafu kweli huyu aliyependwa hapa bwana ana katabia ka-kupiga marufuku kupiemuiwa! lol.
sciencekim una shida!
UMEJUAJE KAMA NI HVIYO
NGOJA NICHUNGULIE HIVI 😛eep: NILE CHABO HAPA MAANA NAONA HAPANIHUSUUU
Kha ha ha haaaaaa! Hebu chungulia utuambiee!
Ukishaisoma uje ujibu maswali...nikishaisoma nifanyaje? muone vile.