Nimetokea kukupenda Sana

Nimetokea kukupenda Sana

Ni kweli sasa hivi amekikalia paw, najua tukifika Mikese anashuka na mzee wa shoka nakikalia sasa, ehee nikupe kile ambacho hukipati kutoka kwa mzee paw!! Halafu PM yangu umeipenda kweli hadi unakenua meno tu!
hebu acha wivu bwana na wewe, akhaaa! mapenzi kiti cha daladala
 
tatizo paw ni dereva babu weeh, unajua kuendesha forklift wewe?
utajiju kijiko kimeingia club hehehe
Truck ya Paw.jpg
Ni kweli sasa hivi amekikalia paw, najua tukifika Mikese anashuka na mzee wa shoka nakikalia sasa, ehee nikupe kile ambacho hukipati kutoka kwa mzee paw!! Halafu PM yangu umeipenda kweli hadi unakenua meno tu!
 
Ni kweli sasa hivi amekikalia paw, najua tukifika Mikese anashuka na mzee wa shoka nakikalia sasa, ehee nikupe kile ambacho hukipati kutoka kwa mzee paw!! Halafu PM yangu umeipenda kweli hadi unakenua meno tu!

Gunia moja la ubuyu unauza shilingi ngapi .Niambie bei yake basi muuza ubuyu
 
Last edited by a moderator:

Hahahahaaaaa, paw anajua kuendesha makubwa tu tena ya mchina, mie naendesha ya aina zote makubwa na madogo ati! Naendesha kuanzia VITZ hadi kitu cha Msomali! Na tena manual kama wewe najua kweli sijui paw kwa jinsi alivyozoea automatic basi manual anaweka gear inakomea nusu wala haingii vizuri na soon ni kuharibu gear box tu!
tatizo paw ni dereva babu weeh, unajua kuendesha forklift wewe?
utajiju kijiko kimeingia club hehehe
View attachment 160879
 
Sasa mkuu gunia zima kweli? Mimi siyo mkulima wa ubuyu bali ni muuza ubuyu! Ukienda kwa wakulima wa ubuyu utajipatia hayo magunia unayoyatafuta! Wasiliana na 'jamaa wa mtera' kule siasani atakurekebishia mambo!
Mimi nahitaji gunia moja
 
Last edited by a moderator:
Pendaneni sasa mbona mwachelewaaa

Dinazarde kila nikiona ID yako humu najikuta nafurahi naburudika kwa kweli na kusahau shida zangu.Nahisi dina utakuwa unakitu special maalumu kwa ajili yangu tu.we fikiria kila nikiona ID yako nafurahi sasa itokee siku tukutane live sijui nipata mafuraha mengi Kiasi Gani. Naomba Basi Jina La Akaunti Yako Ya Facebook Au Uniruhusu Nikutumie PM angalau moja tu kwa siku na uwe unajibu Nahitaji.NAKUAHIDI UKINIRUHUSU PM au FB tutaongea mambo ya MAANA TU .NAKUOMBA UNIRUHUSU My Best Friend Dinazarde Nawasilisha.
 
Last edited by a moderator:
Maneno matupu hayavunji mfupamwekee ngawira uone baby baby zitakavyoanza kuporomoka
 
Dinazarde kila nikiona ID yako humu najikuta nafurahi naburudika kwa kweli na kusahau shida zangu.Nahisi dina utakuwa unakitu special maalumu kwa ajili yangu tu.we fikiria kila nikiona ID yako nafurahi sasa itokee siku tukutane live sijui nipata mafuraha mengi Kiasi Gani. Naomba Basi Jina La Akaunti Yako Ya Facebook Au Uniruhusu Nikutumie PM angalau moja tu kwa siku na uwe unajibu Nahitaji.NAKUAHIDI UKINIRUHUSU PM au FB tutaongea mambo ya MAANA TU .NAKUOMBA UNIRUHUSU My Best Friend Dinazarde Nawasilisha.

hajjahaajh KANTANGAZE
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom