Nimetoka kumuona Msela jela

Nimetoka kumuona Msela jela

Mnamzungumzia yule babu seya mfir..... wa vitoto vya shule au? Kama ni huyo kifungo cha maisha ndio saize yake
 
Hawa walibaka kweli,na sababu kubwa ni mambo ya kishirikina,mganga aliwadanganya wakitembea na vitoto vidogo nyota yao kimuziki ingeng'aa.. zaidi.acheni kutafuta mchawi..walifanya huo ufirauni wakijua kuwa sheria za bongo ziko loose au wangehonga mahakimu na kesi ingeisha juu kwa juu..wazoee tu maisha ya jela,rais hawezi samehe wabakaji eti kisa wao walikua watu maarufu.
 
  • Thanks
Reactions: amu

Kwani kwenye hiyo kesi kuna na mganga pia ambaye alihusishwa, au ni mawazo na hisia zako tu ndizo zinavyohisi hivyo kiongozi...?.
 
Hawa watoto walitoa ushahidi murua mahakamani.Mimi sikuwapo lakini ukisikia simulizi za waliokuwapo unaweza lia maana nasikia watoto walikuwa wakieleza kinagaubaga unyama waliofanyiwa na hao washitakiwa.Fahamu pia kuwa huwezi kumbambikia mtu kesi halafu mashahidi wako wakawa ni watoto wadogo maana hawa huwezi kuwafundisha kutoa ushahidi wa uongo mahakamani ukafanikiwa kwani kuna mahali watateleza tu wakibanwa kwa maswali hivyo kuwafanya watuhumiwa wasitiwe hatiani. Kwa mtizamo wangu makini kuna kila dalili kuwa hawa jamaaa ni kweli waliwamega hawa watoto hivyo wacha waendelee kufurahia matunda ya dhambi yao hii.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Kila mtu atasema lake lakini ukweli anaujua mwenyezi mungu na wahusika,ila kama wameonewa basi waliowaonea hawatotia kichwa kaburini bila kuonja adhabu kwakutendea wenzao mabaya.....

wangapi wanafungwa kwa kuonewa au kesi za kubambikiwa mkuu cha msingi kama jamii ya tanzania nikuona jinsi gani suala lao linafuatiliwa kwa ukalibu sana na hii system ya kuonea watu kisa we ni fulani ndo inayo sababisa chuki katika jamii.
 
Na kwa nini walimuhukumu maisha mdogo wake papii under age maisha na baadaye kumuachia hii kesi ilikaa kigumashi na hakim alitoa hukumu kwe shinikizo. Wameonewa bana. Kapuya anabaka wanapotezea. Ulimboka wanapindisha. Wafanya biashara wa mahenge wameulia in cold blood wamepindisha eti jaji bila aibu alisema muuaji yupo atafutwe. Wewe ukitonesha vidonda vya wake na vimada wao unakula maisha nyuma ya nondo
 
Haki haki ina macho kwa nchi za Afrika
 
alisema ataruhusu uchunguzi huru ufanyike ili kujua ukweli wa kesi ya babu seya na mashekhe ili kujiridhisha kama wana makosa kweli au hapana, kwani mpaka sasa jamii haiamini kama hawa watu walitenda kosa, kumbuka ushahidi mkubwa unatoka kwa jamii, kama kesi hio imetokea ndani ya jamii na jamiii inasema sio kweli, jawabu ni kufanya uchunguzi huru na hii itasaidia jamii kujenga imani na vyombo vinavyotoa haki
 
Tafuta nakala ya hukumu ya mahakama ya kwanza kuisikiliza kesi na zilizofuata za rufani ili uondoe sintofahamu badala ya kusikiliza mamneno ya mitaani
 
mtafuteni mpelelezi wa kesi hii,mgogo mmoja hivi Mr.Mlulu atakuwa anaujua ukweli
 
Lowasa hakusema atawatoa, lowasa aliujibu umma ulipopiga kelele "na babu seya" alijibu nimewasikia.

Jibu la lowasa pia linaacha udadisi.

Lakin swali la msingi kama walikutwa na kosa la kubaka, mwalimu aliepeleka watoto kubakwa kwanini aachiwe, naomba mnaokumbuka hii kesi mje mtuambie hapa nini kilitokea?
Mwalimu aliachiwa kwa sababu alitumika kama shahidi kwa upande wa Jamhuri
 
Nyie msione raha jela ngojeni yawakute. Wafanye kama south Africa mwanariadha kaua kaaachiwa
 
ila watu ni wabaya sana mungu ashushe adhabu kali kwa waliohusika
 
Mlio ukalia ushahidi mmechagua upande wa wabambikiaji so hakuna mantiki ya kupiga na kulalamikia hiyo hukumu JF.
 
Hawa watoto walitoa ushahidi murua mahakamani.Mimi sikuwapo lakini ukisikia simulizi za waliokuwapo unaweza lia maana nasikia watoto walikuwa wakieleza kinagaubaga unyama waliofanyiwa na hao washitakiwa.Fahamu pia kuwa huwezi kumbambikia mtu kesi halafu mashahidi wako wakawa ni watoto wadogo maana hawa huwezi kuwafundisha kutoa ushahidi wa uongo mahakamani ukafanikiwa kwani kuna mahali watateleza tu wakibanwa kwa maswali hivyo kuwafanya watuhumiwa wasitiwe hatiani. Kwa mtizamo wangu makini kuna kila dalili kuwa hawa jamaaa ni kweli waliwamega hawa watoto hivyo wacha waendelee kufurahia matunda ya dhambi yao hii.

mm msimamo wangu ni 50/50 kwenye hii kesi ila hawa watoto wa hili kizaz mkuu usijidanganye hawawez sema uongo
 
Hawa watoto walitoa ushahidi murua mahakamani.Mimi sikuwapo lakini ukisikia simulizi za waliokuwapo unaweza lia maana nasikia watoto walikuwa wakieleza kinagaubaga unyama waliofanyiwa na hao washitakiwa.Fahamu pia kuwa huwezi kumbambikia mtu kesi halafu mashahidi wako wakawa ni watoto wadogo maana hawa huwezi kuwafundisha kutoa ushahidi wa uongo mahakamani ukafanikiwa kwani kuna mahali watateleza tu wakibanwa kwa maswali hivyo kuwafanya watuhumiwa wasitiwe hatiani. Kwa mtizamo wangu makini kuna kila dalili kuwa hawa jamaaa ni kweli waliwamega hawa watoto hivyo wacha waendelee kufurahia matunda ya dhambi yao hii.

Hakuna haja ya kuweka wakili kama unaweza kumuhonga jaji.....
Kama ni ishu ya mzee, jua labda Jaji alikuwa tayari keshakula mlungula
 
Back
Top Bottom