mzaramo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2006
- 6,371
- 5,194
Hawa watoto walitoa ushahidi murua mahakamani.Mimi sikuwapo lakini ukisikia simulizi za waliokuwapo unaweza lia maana nasikia watoto walikuwa wakieleza kinagaubaga unyama waliofanyiwa na hao washitakiwa.Fahamu pia kuwa huwezi kumbambikia mtu kesi halafu mashahidi wako wakawa ni watoto wadogo maana hawa huwezi kuwafundisha kutoa ushahidi wa uongo mahakamani ukafanikiwa kwani kuna mahali watateleza tu wakibanwa kwa maswali hivyo kuwafanya watuhumiwa wasitiwe hatiani. Kwa mtizamo wangu makini kuna kila dalili kuwa hawa jamaaa ni kweli waliwamega hawa watoto hivyo wacha waendelee kufurahia matunda ya dhambi yao hii.
uliwasikia kwa masikio yako hao watoto wakiojiwa na kutoa ushahidi mahakamani!!?