Nimetoa rushwa leo kwa traffic

Nimetoa rushwa leo kwa traffic

banizle

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2008
Posts
217
Reaction score
58
Hii kitu hakiezi kuisha.kwanza nimekutwa na kosa la overspeeding in residential area.pili insurance imeisha muda tatu sijafunga mkanda. Ingenitoka kama 90,000 hivi. Yeye mwenyewe akaanza kuniuliza unashilingi ngapi..ah nikatoa 10,000 mfukoni nikaendelea na safari,mambo mswano kabisa
 
Rushwa ni mbaya sana, naichukia sana na wala sio sifa kwa kweli kutoa au kupokea rushwa.

Ndetichia una uhakika kama angetoa hiyo 90 uchumi ungekuwa? Sidhani, sio kwa sababu ni ndogo la hasha, ni kwa sababu hazipelekwi kwenye kukuza uchumi, zinaelekezwa kwingine kusiko na tija kama kununua mashangingi au kulipana posho za semina na mishahara ya wabunge kuzidi kunona
 
Kwanza wewe si Dereva ndiyo mnaodharirisha kazi za watu. Una overspeed kwenye makazi hlf umetoa rushwa unajisifu?

Hii nchi inatakiwa iwe na sheria za kuuwa wala rushwa. Tunatoka povu kukemea wewe unakuja kwa kinywa kipana kbs eti leo umetoa

Ulijua kbs unafanya makosa yaani ilibidi uwe Ukonga muda huu.

Nakumbuka siku moja kwenye UBU Kamanda Mpinga alisema faini wanaweza sasa iwe ni Mahabusu halafu Kifungo.
 
Hii kitu hakiezi kuisha.kwanza nimekutwa na kosa la overspeeding in residential area.pili insurance imeisha muda tatu sijafunga mkanda. Ingenitoka kama 90,000 hivi. Yeye mwenyewe akaanza kuniuliza unashilingi ngapi..ah nikatoa 10,000 mfukoni nikaendelea na safari,mambo mswano kabisa

Jisifie hilo la overspeedin in residential area.. Wape tu hongo hao lakini ujue siku ukigonga mtu ndo utajua kwanini ulikuwa unaambiwa hongo mbaya..
 
Hii kitu hakiezi kuisha.kwanza nimekutwa na kosa la overspeeding in residential area.pili insurance imeisha muda tatu sijafunga mkanda. Ingenitoka kama 90,000 hivi. Yeye mwenyewe akaanza kuniuliza unashilingi ngapi..ah nikatoa 10,000 mfukoni nikaendelea na safari,mambo mswano kabisa

makosayote ni ya kizembe
 
Halafu munalalamikia sirikali mukiuziwa dawa feki! Kuna mwenzio kaleta dawa bandia, naye kaulizwa swali kama lako, akajibu ana milioni hamsini, mzigo umiingia sokoni!
Hii kitu hakiezi kuisha.kwanza nimekutwa na kosa la overspeeding in residential area.pili insurance imeisha muda tatu sijafunga mkanda. Ingenitoka kama 90,000 hivi. Yeye mwenyewe akaanza kuniuliza unashilingi ngapi..ah nikatoa 10,000 mfukoni nikaendelea na safari,mambo mswano kabisa
 
benizle kweli unashangilia ujinga wako? hebu fikiria gari haina insurance na umeova spidi kwenye eneo la makazi. wewe ulitakiwa kufungwa tu kosa lako ni kubwa mno.
polisi kama huyo kwanza anatakiwa afutwe kazi na kuozea jela kwa kuhatarisha maisha
 
Last edited by a moderator:
yaaani kunipa ile buku ten yako ndio unaniumbua hapa?nitakukamata tena tuu gari yako naikumbuka sana
 
Rushwa ni mbolea inachochea ukuaji wa maendeleo mijini na vijijini by Maj general rtd said kalembo alipokuwa rc ruvuma
 
Mi ninavyoichukia Rushwa, itungwe sheria ya kuua ukipatikana unapractice rushwa
 
Hii kitu hakiezi kuisha.kwanza nimekutwa na kosa la overspeeding in residential area.pili insurance imeisha muda tatu sijafunga mkanda. Ingenitoka kama 90,000 hivi. Yeye mwenyewe akaanza kuniuliza unashilingi ngapi..ah nikatoa 10,000 mfukoni nikaendelea na safari,mambo mswano kabisa

Acha kujisifia ujinga wewe.
 
makosayote ni ya kizembe

Ni ya kizembe kweli,

1 Overspeeding

2 Insurance imekwisha!!! Je road licence ikiisha itakuwaje???

3. Hujafunga mkanda kisha unaovee speed!!

Kama mimi ningekuwa traffic ningekomaa hadi ulipe hata kosa moja licha ya kulamba ka buku kumi kako haaaah!!
 
Hii kitu hakiezi kuisha.kwanza nimekutwa na kosa la overspeeding in residential area.pili insurance imeisha muda tatu sijafunga mkanda. Ingenitoka kama 90,000 hivi. Yeye mwenyewe akaanza kuniuliza unashilingi ngapi..ah nikatoa 10,000 mfukoni nikaendelea na safari,mambo mswano kabisa
Unataka kutwambia nini?Ningekuona wa maana kama ungekuwa umemkamatisha rushwa huyo Juha.Mtoa Rushwa na mpokea rushwa wote wanastahili kunyongwa!
 
Ha haa haaa kwi kwi kwi. yaani kuishi kwingi kuona mengi na duniani kuna kila aina ya watu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom