Mwalimu Rabbi
Senior Member
- Nov 23, 2012
- 111
- 44
Hili si jambo la kujisifia hata kidogo, ni aibu.
Mimi ninavyochukia mauaji ,yaani naomba mungu aamue kuwa mtu akiuawa aende peponi na muuaji motoni,kwa jinsi ninavyowajua binadamu walivyo na choyo hatouliwa au kuuawa mtu!Mi ninavyoichukia Rushwa, itungwe sheria ya kuua ukipatikana unapractice rushwa
Hii kitu hakiezi kuisha.kwanza nimekutwa na kosa la overspeeding in residential area.pili insurance imeisha muda tatu sijafunga mkanda. Ingenitoka kama 90,000 hivi. Yeye mwenyewe akaanza kuniuliza unashilingi ngapi..ah nikatoa 10,000 mfukoni nikaendelea na safari,mambo mswano kabisa
Hii ndio hulka yetu Waswahili,kukimbila hatua kali bila kuwa na mtizamo wa kina.Watu kama nyie mnaojisifia kutoa/kupokea rushwa mnafaa kupigwa risasi hadharani ili iwe fundisho kwa jamii ya kitanzania. Tena risasi za kukuangamiza unatakiwa kununua mwenyewe. Tumechoka sasa na hii tabia ya kutoa rushwa.
Hii kitu hakiezi kuisha.kwanza nimekutwa na kosa la overspeeding in residential area.pili insurance imeisha muda tatu sijafunga mkanda. Ingenitoka kama 90,000 hivi. Yeye mwenyewe akaanza kuniuliza unashilingi ngapi..ah nikatoa 10,000 mfukoni nikaendelea na safari,mambo mswano kabisa
Nchi hii ina waseng wengi....unajisifia kwa rushwa? Miracles will never end