Hii kitu hakiezi kuisha.kwanza nimekutwa na kosa la overspeeding in residential area.pili insurance imeisha muda tatu sijafunga mkanda. Ingenitoka kama 90,000 hivi. Yeye mwenyewe akaanza kuniuliza unashilingi ngapi..ah nikatoa 10,000 mfukoni nikaendelea na safari,mambo mswano kabisa
Wewe una matatizo makubwa kuliko huyo huyo uliyemhonga 10,000/= sijui usaidiweje sasa, labda uende kituo cha polisi kilicho karibu nawe utoe hiyo taarifa ili ufunguliwe kesi mahakamani na ufungwe walau miezi mitatu tu ujue kweli kwamba ulifanya makosa, maana sasa yamefika manne