kikahe
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 1,350
- 284
benizle kweli unashangilia ujinga wako? hebu fikiria gari haina insurance na umeova spidi kwenye eneo la makazi. wewe ulitakiwa kufungwa tu kosa lako ni kubwa mno.
polisi kama huyo kwanza anatakiwa afutwe kazi na kuozea jela kwa kuhatarisha maisha
Alitakiwa afungiwe miezi 6 kama Radio IMAAN
Last edited by a moderator: