Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,633
- 38,733
- Thread starter
- #81



Ebu niache niendelee kunywa maji yangu ya tangawizi na limao nipoze kikohozi
Sent using Jamii Forums mobile app



Ebu niache niendelee kunywa maji yangu ya tangawizi na limao nipoze kikohozi
Hebu nisaidie kumuuliza ana uhakika huyo Joanah ni wa kike?


Siku hizi wamejificha ktk kusaka wachumba,,
Ukiona ID inasaka mchumba kuwa macho wengi wao wapo kikachero zaidi,,
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂
Kunywa ukimaliza ukujeeEbu niache niendelee kunywa maji yangu ya tangawizi na limao nipoze kikohozi
Hahahahaha
Mzee.... huu msemo umetoka kwa ex wako nini? Au JaelWanasema kosea vyote ila usje ukapiga show mbovu....
Historia naamini imekubeba Lijendi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee,,,,,Wanasema kosea vyote ila usje ukapiga show mbovu....
Historia naamini imekubeba Lijendi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha
Sasa x wakati mmekulana juzi tuu.....
s tena jamani, pamoja na hili bandikooo
dahhhh, huu ni uwekezaji wa hali ya juuPoleni sana na janga linalowakumba TZ kitalaamu likiitwa changamoto ya upumuiji.
Katika pitapita zangu kwenye majukwaa pendwa MMU na CHIT CHAT ili kutumiza yale yote anayonituma ibilisi nikakutana na ID moja ya mlimbwendwe, malikia, mremboo mmoja hatarii sana(ukiwa legendary na mkali wa hizi kazi unaweza kuisoma id na kuijua hii kazi ya maana au hii kazi ni ya kiwango cha kawaida).
Baada ya kuvutiwa na mwandiko wa bidada na kujiridhisha kua hii ni chombo ya fundi nikazama pm kwa kasi ya ajabu mnoo, baada ya kuchat chat kidogo nikataka kukihamisha chombo sasa kutoka kwenye server za melo nikipeleke kwenye server za Mark Zuckerberg.
Kumbe mrembo ananichora tu ni ex wangu wa humu kwa id nyingine wakuuu, halafu id zote ni za mda mrefu wala huwezi kizisuspect pamoja na mimi kua ni mtu mwenye intelejensia kali kwenye jamuhuri ya serekali ya watu wa mmu na chit chat, baada ya kujiridhisha na vichat chat kadhaa nikaomba contact nashanga ujumbe unarudi.
"Namba zangu za nini tena wakati unazo?" Mara paap inakuja nyingine "wee umalaya utakuua mimi M"
Baharia nikaumbuka pale lakini kama mnavyojua malegendary huwa hatushindwi nikareact fasta.
"Nilihisi ni wewe lakini nilitaka kujiaminisha let us pretend kama hatujawahi kukutana, naomba nikutoe out for dinner leo mrembo" baada ya dk kadhaa likarudi jibu
"Call me"
Na kiporo kikapashwa motoo...... mwisho
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasema kosea vyote ila usje ukapiga show mbovu....
Historia naamini imekubeba Lijendi.
Sent using Jamii Forums mobile app







dahhhh, huu ni uwekezaji wa hali ya juu


wewe mwenyew s
Aaaahh waaapii...s hapa umeingia cha kiume mdogo wangu










S nayemjua mimi jamani!! Namuonea huruma! Si yule naniliuu






Mwenzio natafuta hata wa kuchati nae nimekosa, wenzetu mnapiga mpaka mnarudiana bila kujua!![]()






