1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 10,137
- 14,234
[emoji86] Siku hizi wamejificha ktk kusaka wachumba,,Tutakurudisha darasani intelijensia imeyumba, itakua kuna vipindi ulitega.
Ukiona ID inasaka mchumba kuwa macho wengi wao wapo kikachero zaidi,,
Sent using Jamii Forums mobile app