Nimetoa boko wakuu

Nimetoa boko wakuu

Ila Hazard una ufala mwingi sana mshkaji [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inabidi nije piem, nikikuvusha kwa Mark nitajua nimewin tayari, haya ni maneno ya Hazard[emoji23][emoji23]
 
Maty 5:27-28
Mmesikia kwamba imenenwa, Usizini;

lakini mimi nawaambia, Kila mtu atazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake.
 
Back
Top Bottom