The Most Winner
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 733
- 961
Tayari mkuu.
Tayari mkuu.
Yule naye umemuachaa???!! Pampula wewe umeshindikana akii
kwa muda mfupi niliokaa humu nimeshindwa na sasa uzee umeshabisha hodi, muda umeshanitupa mkono sana mkuu
@zoë na Jael mnaitwa huku...
Sijui wataona, wanatumia App walee
Dunia haiko fair mkuu
Ukisikia dunia haina huruma ndo hiyo sasa
Sidhani
Pole sana jamani MkuuDunia haiko fair mkuu
Rudisha Avatar yangu Kwanza..
Nyie watu mnamajaribu sana
Ha ha ha ha Mzee, hawa viumbe huwa wanakumbuka sana ukideal na haya mambo kwa uweledi na umahiri uliotukuka....Mzee.... huu msemo umetoka kwa ex wako nini? Au Jael
Acha mkuu show safi inakupa complimentary kama za mtoa madaAisee,,,,,
Kwangu hakuna
Haha... kwa hiyo bora uzingue kote ila sio show.Ha ha ha ha Mzee, hawa viumbe huwa wanakumbuka sana ukideal na haya mambo kwa uweledi na umahiri uliotukuka....
Ha ha ha Jael labda angepewa hela ndio angefanya hayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbona wengine tumevusha seva lakini fainali haichezwi? Tupe mbinu za kiintelijensia...Hyo ni stage muhimu sana ukifanikisha hapo kuna asilimia 60 za kwenda kula....kuvusha server muhimu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nalijua hilo