Nimetoa boko wakuu

Nimetoa boko wakuu

muhusika anakua ashakubali nipandishe mada hewani..bila kumtaja lakini,

Kausoma uzi hapa kacheka sana
Sasa akitokea Mtoto mkali mwengine Unaruka nae na ID hii hii Au Wakat ushaifungulia mathread Kama haya ila we mwamba Sikuwezi

I'm on that good kush and alcohol
 
Aaaah hiyo niambie niwape wavulana..mabaharia hua tunakikubali kila chombo kwa wakati wake,,,hakiachwi kitu
Nzuri ila hiyo elimu ya kutambua mbaya na mzuri kwa kuangalia mwandiko naomba uwape na mabaharia wenzio...itasaidia kutuondolea usumbufu sisi wengine hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poleni sana na janga linalowakumba TZ kitalaamu likiitwa changamoto ya upumuiji.

Katika pitapita zangu kwenye majukwaa pendwa MMU na CHIT CHAT ili kutumiza yale yote anayonituma ibilisi nikakutana na ID moja ya mlimbwendwe, malikia, mremboo mmoja hatarii sana(ukiwa legendary na mkali wa hizi kazi unaweza kuisoma id na kuijua hii kazi ya maana au hii kazi ni ya kiwango cha kawaida).

Baada ya kuvutiwa na mwandiko wa bidada na kujiridhisha kua hii ni chombo ya fundi nikazama pm kwa kasi ya ajabu mnoo, baada ya kuchat chat kidogo nikataka kukihamisha chombo sasa kutoka kwenye server za melo nikipeleke kwenye server za Mark Zuckerberg.

Kumbe mrembo ananichora tu ni ex wangu wa humu kwa id nyingine wakuuu, halafu id zote ni za mda mrefu wala huwezi kizisuspect pamoja na mimi kua ni mtu mwenye intelejensia kali kwenye jamuhuri ya serekali ya watu wa mmu na chit chat, baada ya kujiridhisha na vichat chat kadhaa nikaomba contact nashanga ujumbe unarudi.

"Namba zangu za nini tena wakati unazo?" Mara paap inakuja nyingine "wee umalaya utakuua mimi M"
Baharia nikaumbuka pale lakini kama mnavyojua malegendary huwa hatushindwi nikareact fasta.

"Nilihisi ni wewe lakini nilitaka kujiaminisha let us pretend kama hatujawahi kukutana, naomba nikutoe out for dinner leo mrembo" baada ya dk kadhaa likarudi jibu

"Call me"

Na kiporo kikapashwa motoo...... mwisho

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulijifukiza lakini kabla na baada ya kuonana nae!?
 
hahahaha kweli legend

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naenda Kumtokea Joanna na Mimi, nshachoka kusoma stori za Wadau wanakula Nyufa za umu mi naambulia stori tu... Joana Nakuja mama.. Niko mbiyo Kama Sharukh Khan kwenye Muvi ya Kuchi Kuchi Hotae... Nipokee Mama nna mahaba yaliyo imara Sana, hutojuta!
 
Kwa binti anaye comment kwa kushangilia au kusupport nyuzi Kama hii,hata siwezi jihangaisha kumtokea kwa sababu anaonesha wazi ni Mwanamke asiyefaa kama Mke makini anayejitambua.

kwa watu kama mimi huwa ni waoaji na sio wapitaji basi nikiona binti anasupport hapa ni kama ameshaji punguzia credi ya kuwa Mke,na siwezi mtokea kamwe.
 
Back
Top Bottom