Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,488
Ilikuwaje eti jamani [emoji1780]Hapana [emoji73]
Ilikuwaje eti jamani [emoji1780]Hapana [emoji73]
Kwahiyo hadi michepuko yako ina nguvu kiasi hicho!!! Hebu shikana na adabu yako we mtoto[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Kurudisha Moira kwa kipa muhimu sana wakati mwinginePoleni sana na janga linalowakumba TZ kitalaamu likiitwa changamoto ya upumuiji.
Katika pitapita zangu kwenye majukwaa pendwa MMU na CHIT CHAT ili kutumiza yale yote anayonituma ibilisi nikakutana na ID moja ya mlimbwendwe, malikia, mremboo mmoja hatarii sana(ukiwa legendary na mkali wa hizi kazi unaweza kuisoma id na kuijua hii kazi ya maana au hii kazi ni ya kiwango cha kawaida).
Baada ya kuvutiwa na mwandiko wa bidada na kujiridhisha kua hii ni chombo ya fundi nikazama pm kwa kasi ya ajabu mnoo, baada ya kuchat chat kidogo nikataka kukihamisha chombo sasa kutoka kwenye server za melo nikipeleke kwenye server za Mark Zuckerberg.
Kumbe mrembo ananichora tu ni ex wangu wa humu kwa id nyingine wakuuu, halafu id zote ni za mda mrefu wala huwezi kizisuspect pamoja na mimi kua ni mtu mwenye intelejensia kali kwenye jamuhuri ya serekali ya watu wa mmu na chit chat, baada ya kujiridhisha na vichat chat kadhaa nikaomba contact nashanga ujumbe unarudi.
"Namba zangu za nini tena wakati unazo?" Mara paap inakuja nyingine "wee umalaya utakuua mimi M"
Baharia nikaumbuka pale lakini kama mnavyojua malegendary huwa hatushindwi nikareact fasta.
"Nilihisi ni wewe lakini nilitaka kujiaminisha let us pretend kama hatujawahi kukutana, naomba nikutoe out for dinner leo mrembo" baada ya dk kadhaa likarudi jibu
"Call me"
Na kiporo kikapashwa motoo...... mwisho
Sent using Jamii Forums mobile app
Au ndio vile tena siku hizi zinatoka k-vant tu hata mimba haitungishi[emoji1745][emoji1745][emoji1745]
Ooooh!! We nitaamini ni kweli maana mwingi wa habari.Kama alivyoandika Hazard
Mbona uliondoka mwenyewe jamani miezi mitatu yoote [emoji1780][emoji73] sasa inabidi tujikarantini tu wote hakuna namna
Hebu niambie kuna usingo ngapi etii jamaniiSasa auntie usingo upi hapa unaongelea, hebu kuwa specific.
Pampula hebu tuwe serious sasa we uko kwenye early 30s ?? Haki ya nani nilijua uko kwenye mid 20s duuh !!Bado sanaa...ndio kwanza nipo kwenye early 30's, nina miaka 30 tena yakujidai duniani hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
AiseeeeOoooh!! We nitaamini ni kweli maana mwingi wa habari.
OhooooPampula hebu tuwe serious sasa we uko kwenye early 30s ?? Haki ya nani nilijua uko kwenye mid 20s duuh !!
Kwahiyo urithi sipati?
Hahaahhaah
Andika vizuri hebu
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]Mwanao ndio nipo naye, ananiambia hapa mjibu hivi auntie...
Auntie bwana!!Hebu niambie kuna usingo ngapi etii jamanii
Mbali hivyo, nilijua kana 17 au 18.Pampula hebu tuwe serious sasa we uko kwenye early 30s ?? Haki ya nani nilijua uko kwenye mid 20s duuh !!
Abeee auntie wangu mzuri mzuri jamaniAuntie bwana!!