Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,388
- 176,279
Sasa hofu yako nini? Alokwambia mahari hurudishwa nani?Tatizo ulikuwa ushakula mahari
Sasa hofu yako nini? Alokwambia mahari hurudishwa nani?Tatizo ulikuwa ushakula mahari
Si kama hicho ulichoingia wewe...wanakiuta stressfree,kumalizana leoleo
Sent using Jamii Forums mobile app






Hahahahaha
Ngoja corona ijidai na wewe
Nilikwambia lakini, ukajifanya sikio la kufa!
Huyo pampula chama chake ni cha wale wa rombo.
Nimemuuliza tuu jamani, chama lake ni lipi
Haya sasa. Yaani ilibaki kidogo nikuulize umemficha wapi.Jamaaaaanniiiii
Unajua nitakununia mimi my![]()
Auntie sio vizuri ujueSasa hofu yako nini? Alokwambia mahari hurudishwa nani?
30's umefika lini we mtoto? Au unamdanganya ZoëBado sanaa...ndio kwanza nipo kwenye early 30's, nina miaka 30 tena yakujidai duniani hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Chama lako haliwezi kuwa sawa na langu kabisaa
OoohooooHuyo pampula chama chake ni cha wale wa rombo.
Huko nyuma nishawahi jikarantini hadi jeiefu wakaweka uzi eti nimeresti in pisiHaiwezekani kabisaa jamani dear...
Miezi mitatu?! No phone, no sms yaani nothing at all....
Lazima x awe mmoja tuu
Alijibu. Ni visingizio tu kama kenya.Akijibu niite

....umri ushasogea basi tu najitoa ufahamu hapa
30's umefika lini we mtoto? Au unamdanganya Zoë
Huyo unadhani anayoandika ni kweli? Kwa nguvu gani labda!!
Ila wewe chiboko.
Mimi najua sasa jamani dearHaya sasa. Yaani ilibaki kidogo nikuulize umemficha wapi.
Hahahaah...dah
Na alivyo sakayo atasikiliza majibu yako, mie akija tena kulialia eti umemsusa nitakuwa nakunywa chai yangu ya tangawizi taratiiibu huku nikisikiliza gospel.Hakuna swali lisilo na jibu
Ushasema huko nyuma...Huko nyuma nishawahi jikarantini hadi jeiefu wakaweka uzi eti nimeresti in pisi