[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio, nataka hela ya kujifukiza.
Au kuna pedeshee mwingine umemuona tubadili gia angani?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa kweli umenichokaHahah,
Nakushauri kama ni kiguu na njia vaa tu, maana we una damu ya papai ujue
Nasisitiza.Uzinzi moto
Ila kupima mnaogopa
Nyambafuuuuu
N vile tunaishi mara moja tuDon't take life too serious, you won't make it alive.
Sio wali mkuu!
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Au ndio vile tena siku hizi zinatoka k-vant tu hata mimba haitungishi[emoji1745][emoji1745][emoji1745]
Niko kikombe cha tano cha limao na tangawizi nakunywa taratibu
Hahaha...labda nilikuwa incarceratedHalafu ukafufuka!! Kumbe ubishi umeanza siku nyingi[emoji134][emoji134][emoji134]
Utaandika nini sasa?
Kwahiyo urithi sipati?Weeee...hebu tema mate chini
EeeehhhhhNikiongeza ujue na wewe mkwe nakuwowaaa
Wacha bwana
Corona ashakukula hadi ubongo maweeeeeee[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Nikiongeza ujue na wewe mkwe nakuwowaaa
Yule dogo wa singeli alokufa akafufuka anaitwa nani eti jamaniHahaha...labda nilikuwa incarcerated
Nimelia sana jamani nikikutafuta ujue
Sasa auntie usingo upi hapa unaongelea, hebu kuwa specific.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Auntie nakugawa bure jamani... nimeamua kukuwa singo tuu auntie!!
Mwanaume anapotea miezi mitatu bila taarifa jamani