Nimetoa boko wakuu

Nimetoa boko wakuu

acheni ujingaa, huyu jael sijui anampango gani na mimi kutaka kupeperusha ndege wangu, anataka nife single

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mwanangu huyo mtoto wa nani ambae wazazi wake wamemchoka hivyo wa kuolewa na wewe? Ungekua na nguvu hata ningesema nianzishe bustani ya mapapai uwe unayamwagilia ila ndio vile tena
 
Hahah,

Nakushauri kama ni kiguu na njia vaa tu, maana we una damu ya papai ujue
nahisi we unaweza, mie sivai hizo ndude na nazurura kama kawa.

Mengine tunamuachia Mungu tu hamna aliyekuja kulinda dunia sote tunapita, unaweza usife kwa corona ila ukafa kwa ajali ya gari huku umevaa barakoa yako usoni.
 
Ndio maana nipo zangu bar napiga bia,kifo kipo tu

Back
Top Bottom