Nimetoa boko wakuu

Nimetoa boko wakuu

Kwa binti anaye comment kwa kushangilia au kusupport nyuzi Kama hii,hata siwezi jihangaisha kumtokea kwa sababu anaonesha wazi ni Mwanamke asiyefaa kama Mke makini anayejitambua.

kwa watu kama mimi huwa ni waoaji na sio wapitaji basi nikiona binti anasupport hapa ni kama ameshaji punguzia credi ya kuwa Mke,na siwezi mtokea kamwe.
Don't take life too serious, you won't make it alive.
 
Ndio maana tunakatazwa kuzaa uzeeni, ona sasa hili balaa[emoji134][emoji134]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we hata ukizeeka zaa tu mama wala usiogope, siyo watoto wote wa uzeeni wako hivyo.

Lakini inawezekana labda karithi kutoka kwa baba yake [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
 
Back
Top Bottom