Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,789
- 109,964
Viguu na njia wakati wanajua malaika mtoa roho anapita pita bila formula...
Sasa unataka nani akutane na izraili?
Sasa unataka nani akutane na izraili?
Teh teh dogo shika adabu yako mie mama yako mdogo ujue, tena usije ukanitibua nikakuchapa sasa hivi maana inaonekana mama yako alishindwa kukulea hadi kupelekea kufanya kila aina ya uhuni chini ya jua.Nipo tayari kuacha....for you mamaaa for mamaaa,your special[emoji443][emoji445][emoji445][emoji444]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe ni weweeeeee!! Bichwa lako kama mapapai yenye korona[emoji57]
Mmmmh!!!
Oooiii
Hapo sawa na kagari ka kwendea kanisani?Una kiwanja chako kwenye urithi mkwe...
Hahaha
Nyoko sake kaongea na mods nikala ban hili aje ajisifu ...Mzee wa kukojoza katika ubora wake ....In Hornet voice [emoji2][emoji2]
Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawaza hapa baba yako ni nani?
Kumbe ni weweeeeee!! Bichwa lako kama mapapai yenye korona[emoji57]
Oooh shukrani kwa ufafanuzi, haya mambo yenu vijana magumu sana.
Ushindweeee!Viguu na njia wakati wanajua malaika mtoa roho anapita pita bila formula...
JamaaaaanniiiiiRule number one, never kiss and tell
Rule number two, refer to rule number one
Hapo sawa na kagari ka kwendea kanisani?
Malimao na tangawizi haiwezekani korona yenyewe inakufa.Hahaha...
Speaking of mapapai, mzee katuharibia aisee...
Banda langu pa mafenesi na mapapai saa hii watu wanalipitia mbali kama wameona kinyesi...
Sasa mara paaap malimao na tangawizi nazo zitajwe kwenye list
Akijibu niite[emoji41][emoji41] nani anakuficha ??
Teh teh dogo shika adabu yako mie mama yako mdogo ujue, tena usije ukanitibua nikakuchapa sasa hivi maana inaonekana mama yako alishindwa kukulea hadi kupelekea kufanya kila aina ya uhuni chini ya jua.
[emoji73] nafanya mpango nijikarantini naweJamaaaaanniiiii
Unajua nitakununia mimi my [emoji1780]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nahisi we unaweza, mie sivai hizo ndude na nazurura kama kawa.Ugali mtamu ndugu...huu sio umri wa kukutana na izraili...
Sisi wengine hatuwezi kuvaa mavitu puani aisee
We jitoe tu ufahamu walah nitakufufua. Alokwambia sina Biblia na kitabu cha nyimbo nani?Sasa hivi misa ni za nyumbani...
Biblia itakutosha na kitabu cha nyimbo
Nyoko sake kaongea na mods nikala ban hili aje ajisifu ...