Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,879
- 183,192
Kweli kabisa hizi akili za baba yake kabisaaa. Kanda ya ziwa hatuna hizi gene.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we hata ukizeeka zaa tu mama wala usiogope, siyo watoto wote wa uzeeni wako hivyo.
Lakini inawezekana labda karithi kutoka kwa baba yake [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]