Bonny
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 13,370
- 30,010
Chokoraa itakua nazurula na wewe mdogo wanguUmekuwa chokoraa siku hizi[emoji134][emoji134][emoji134]
Kila mwaka anafanyiwa, yaani naachaje kwamfano?[emoji1745][emoji1745]
Ha ha ha ha ila lile kabila sio mchezoKila mwaka anafanyiwa, yaani naachaje kwamfano?[emoji1745][emoji1745]
Hayo majibu yako ndio ya kichokoraa bwana.
Sasaaaaa hivi umenibuloku eeh?
Ha ha ha ha ha hapo ndio unafeli, kama hela inatumiwa hapa jukwaan bas subiria msg, sehem ya kuipata unapajuaHayo majibu yako ndio ya kichokoraa bwana.
Hujambo lakini? Hujapata tu korona?
Tuma hela ya kujifukiza basi.
Ha ha ha kumblock mtu maana yake unamuogopa, Naanzaje kukuogpa DogoSasaaaaa hivi umenibuloku eeh?
What did i do to deserve a brother like you lakini? Kaka kivurugeee,pasua kichwa, bandiduuu[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Ha ha ha ha ha hapo ndio unafeli, kama hela inatumiwa hapa jukwaan bas subiria msg, sehem ya kuipata unapajua
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hiyo ndio tafsiri ya kublock[emoji134][emoji134]Ha ha ha kumblock mtu maana yake unamuogopa, Naanzaje kukuogpa Dogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Embu tusiharibu uzi wa watu tuhame huku.....What did i do to deserve a brother like you lakini? Kaka kivurugeee,pasua kichwa, bandiduuu[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Tunahamia wapi my kaka?
Okee OkeeiiSawa dear
Tuanze upya sasa jamani dear
[emoji9]Okee Okeeii
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] khaaMbona unanitaja huku unatetemeka?
Haya.Mie mbona natumia tecno ?? Siyo samsung hiyo eti !! [emoji16][emoji16] [emoji41][emoji41]
Mie mbona natumia tecno ?? Siyo samsung hiyo eti !! [emoji16][emoji16] [emoji41][emoji41]
Haya.
[emoji3059][emoji3059][emoji9]