Mzee Mwanakijiji,
Tayari nimeisoma kwa makini hii posting, ukweli ni kwamba imeandikwa na mdini anayejali kuwa Mkapa, alikuwa mkristo, anayefuatilia kwa makini issues za kidini mpaka anajua kuwa kulifanyika maandamano London,
Halafu mwishoni anakutishia kwa kutumia jina la serikali, ya kwamba yeye ni usalama au shushu! Mikataba ya IPTL imemshinda huyu Statesman na usalama yake na mkono wa serikali yake!, City Water imemshinda! Manji amewashinda! Madini ndio hivyo yanachukuliwa kama hayana mwenyewe,
lakini yeye na usalama yake wanamuda wakufuatilia kwa makini hizi forum! What a mkono wa serikali, it is a big joke mzee Statesman! Hatukutengwa kwa kuwaua Waisilamu pale Mwembe chai bila sababu, lakini tutatengwa sasa kwa sababu ya maoni ya Mwanakijiji?, hatukutengwa kwa kuwaua wananchi kule Pemba bila sababu, tena Waisilamu, lakini tutatengwa kwa sababu mwanakijiji ametoa mawazo kwenye forum?
Hatukutengwa wakati gazeti la African Confidential liliposema kuwa rais wetu anapewa hela za uchaguzi na IRAN, lakini tutatengwa sasa kwa sababu ya Mwanakijiji,
Mzee Mwanakijiji, weka vitu huyu tena tumeshamjua ni nani huyu, hana lolote ni debe tupu hilo, yaliyojaa yaani usalama wenyewe kina Ubwete, huwa hawatishii watu humu! Weka vitu!