Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,731
- 40,838
Katika ukurusa wa comments kwenye KLH News.. kuna mtu kanitumia ujumbe huu akijibu hoja zangu kuhusu "Mashariki ya Kati: Tanzania tuko Upande Gani?"
Anajiita "Statesman"
"Yap in response to ur intro... unasikitisha maana unataka kucheza ngoma usiyojua mwisho wake.Raisi Busha baada ya milipuko ile na ile ya WTC akatamka wzi kama ' Either uko na USA au uko na Magaidi'sasa unataka kutueleza kama for the past about 10 years Mkapa (Mkristo) kama Raisi Tanzania ilikuw upande mzuri n a sasa baada ya Kikwete (Muislamu) ina chagu upande wa magaidi. Kijana be carefully we are reading between your line of argument. Unajua kauli zako hizi zitaleta implication mbaya kwenye jamii na kusababishwa nchi kutengwa?Mimi nadhani Serikali ya Tanzania ilishatoa msimamo wake ambao ni kulaani pande zote kwa kuendeleza mapambano na kuua raia wasiokuwa na hatia. Haikusema kama upande upi uko right. Angalia PRESS RELEASE YA WAZIRI ASHA. Ama kuhusu waandamanaji kuegemea upande mmoja wa wanamgambo wakiislamu wa Hizb huwezi ku sema kwa serikali kuruhusu maandamano yale ndo imechagua kuwa upande wa Magaidi. London nasikia yalifayika mandamano kama yale kupinga Israel na huwezi kusema kama British Government iko upande wa Magaidi.
Sasa to make the story short toa apology yako kwa Serikali kabla mkono mrefu wa serikali haujakufuata hapo ulipo."
Sijui kama amedhamiria kuninyamazisha, kunitisha au anajifurahisha.. anyway, nimempa jibu lake kama alivyotaka na zaidi. Hata hivyo show ya leo imekuwa rated PG 13