Nimetishiwa Maisha au?...

Status
Not open for further replies.
Huyo ni mmoja wa tumbiri wanaoharibu mahindi yetu kijijini au ngiri bingwa wa kusahau.
 
Unatishiwa unaelezwa kwani wewe ni nani si mtu tu wa kawaida endelea tuone hao jamaa zako wanaokuunga mkono kama watakusaidia utakapokuwa segerea

acha vituko wana ubavu wa kunipeleka Segerea? watatangulia wao kwanza!
 
Mkuu Mwanakijiji kwani are you scared? If not then you have nothing to worry about. Lakini nakushauri tu mkuu kuwa makini because mtu huyo katuma ujumbe kupitia alias yake so you don't no what authority the person has to say what they said. I can't say if the person is making empty threats or not but once people are worried about what you say then the message is reaching them and touching them.

jamani hii ni ya 2006.. siyo mpya! Wakati tulipoanza hizi cheche ndio walikuwa wanakurupuka.
 
Geuka nyuma angalia upande wa kushoto kwako yupo nani?Huyo ndio hatari kwako,jihadhari!
 
Ukiwa kwenye mapambano ......upinzani kama huo ni lazima...hakuna kukata tamaa...tuko na wewe...daima katika mapambano ya fikra..na uzalendo wa kimapinduzi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom