Exorcist
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 1,236
- 1,257
Sasa hao wasiozalisha hao ndio inabidi tupambane nao kuwakomesha na kuwatokomeza, asiyezalisha na asile.Ngoja niangalie link aliyoweka kisha kwenye bookies wetu
Nina mashaka na ufahamu wako katika maswala ya uchumi,
Hata bila betting kuwepo still watu wanaoishi bila kuzalisha walikuwepo na wataendelea kuwepo. Hakuna nchi isiyo na watu wa aina hii hata nchi zisizoruhusu betting. Si kila mtu katika kila nchi ni mzalishaji.
Lakini uwepo wa watu hawa haimaanishi basi hakuna sekta ingine hazipo, wazalishaji wapo na wasiozalisha pia wapo.