Nimetengeneza 15,632,000/= kwenye betting ndani ya miezi minne

rikiboy

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Messages
8,282
Points
2,000
Age
41
rikiboy

rikiboy

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2017
8,282 2,000
Kama umetulia Ni Jambo zuri sana ninakuomba usirudi tena kuna jamaa hapo nimemuelewa sana amesema betting hata uwe na 1billion utafilisika na hata upate faida kama huyo wa 15mil bado utafilisika na kutumia za mfuko which means ukiwa na nyumba utauza, system yake iko hivo kabisa anayeiweza hapa bongo na wapi amna
Kweli mkuu Betting ni Ujinga sanaaa...
 
Million dollars

Million dollars

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2016
Messages
1,147
Points
2,000
Age
24
Million dollars

Million dollars

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2016
1,147 2,000
Mnaosema Betting haifai Mna suggest kitu gani kifanyike ila kuboresha maisha ya vijana? Tukalime? Ok Mazao gani? Tukafanye Biashara? Ok Biashara gani ya Mtaji wa laki ikakupa hata Elfu 20 per day? Asilimia kubwa ya wanaobeti ni Masikini walioamua kujiajiri kwa njia hiyo! Maana yake kwingine panahitaji mitaji mikubwa mfano leo hii ukiwa na Milioni 10 Mtaji Hakuna Biashara yoyote utakayoifanya ikaingiza Laki 5 faida kwa siku! Ila ukibadilisha kwa kubet Milioni 10 upate faida Laki 5 ni odd 1.05 Ila kwa Hali halisi ni vijana wangapi Tanzania Hii wenye Milioni 5 tu za Mitaji ya Biashara?? Ila kubeti inahitaji Buku tu! Piki piki inauzwa Milioni 2 ila kipande kwa siku ni 10k na ikumbukwe risk pia ipo tena kubwa, pikipiki inaweza ikapata ajali ikafa pamoja na dereva , inaweza ikiporwa, sasa hv kuna mvua inaweza ikaingia mimaji ikafa ikitokea hvyo unakuwa umelost 2M kwa kutafuta buku 10 per day ila kubeti ukiweka 20k ukatafuta odd 1.50 unapata 30k faida 10k kama mwenye boda boda tofauti yake wewe umetumia vidole tu ba bundle kuipata 10k mwenzio kaungua na jua mchana kutwa halafu Leo hii unanishauri niache kubeti wanaofilisika hawana nidhamu ya Biashara
 
Okimangi

Okimangi

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Messages
634
Points
500
Okimangi

Okimangi

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2018
634 500

Mzee emu nipe dondoo za biashara ya mgahawa ikoje boss nawish ningekuwa dodoma ningekutembelea iyo pia faida si ipo....au ukilala na chakula ndio issue au pesa inaishia kulipa wafanyakazi na kodi ya nyumba na ya serikali, ebu niambie ukweli uko wapi?....
 
W

wakubeti

Member
Joined
Oct 5, 2018
Messages
88
Points
125
W

wakubeti

Member
Joined Oct 5, 2018
88 125
Kwa sio tunao bet pindi tukisema tufanye biashara naamini tutafanikiwa sana hasa yule anayeweka 100k apate 200k, kwa nini nasema hivi maana betting huwa inahasara sana kuliko biashara yoyote, nilishangaa jamaa analia amepata hasara ya 30k kwenye biashara ya machungwa lakini ameuza na amebaki na pesa, sasa biashara unapata hasara lakini sio zote Mtaji unaisha, bet stake au Mtaji unalika wote inakuwa total loss.
Nikweli kabisa. Kunakipindi nilkua naweza kutimiza siku 3 bila kulala kabisa nakesha night kali kukimbiza na basketball na mechi za china kukikucha naelekea job. Nakuabize mno mchana nakufanyia research gemu ntakazobeti night.
Sikua ata natime yakukaa nawatu kubadilishana mawazo niliona wananipotezea mda. Baadae nkaja nkagundua kua kma nikiamua kua serious kma nilvokua kwenye betting hivi vibiashara mbuzi haviwez niletea shida kabisa
 
Okimangi

Okimangi

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Messages
634
Points
500
Okimangi

Okimangi

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2018
634 500
Nikweli kabisa. Kunakipindi nilkua naweza kutimiza siku 3 bila kulala kabisa nakesha night kali kukimbiza na basketball na mechi za china kukikucha naelekea job. Nakuabize mno mchana nakufanyia research gemu ntakazobeti night.
Sikua ata natime yakukaa nawatu kubadilishana mawazo niliona wananipotezea mda. Baadae nkaja nkagundua kua kma nikiamua kua serious kma nilvokua kwenye betting hivi vibiashara mbuzi haviwez niletea shida kabisa
Kwelii kabisa sijawahi ona pesa ndogo kwenye kubet lakini mpaka uipate Ni mbinde sasa unachukua 10000 Unaweka unapata 20000 Ni biashara gani iko ivo au 5000 unapata 200000 simple kabisa aisee betting bhna pesa Ni mteremko lakini ugumu upo.
 
castieltsar

castieltsar

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2016
Messages
548
Points
1,000
Age
25
castieltsar

castieltsar

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2016
548 1,000
Kwelii kabisa sijawahi ona pesa ndogo kwenye kubet lakini mpaka uipate Ni mbinde sasa unachukua 10000 Unaweka unapata 20000 Ni biashara gani iko ivo au 5000 unapata 200000 simple kabisa aisee betting bhna pesa Ni mteremko lakini ugumu upo.
watu hawajui tu hatakama uko surs kiasi gani ile pressure inamaliza nguvu mpaka unakula pesa umechoka kama nini wacheni watuseme mwisho wa siku kama unaweza improve maisha yako usione haya sababu ukikosa hata pesa ya betting hamna atakae kupa pesa kama yupo naaacha kubet
 
Okimangi

Okimangi

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Messages
634
Points
500
Okimangi

Okimangi

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2018
634 500
watu hawajui tu hatakama uko surs kiasi gani ile pressure inamaliza nguvu mpaka unakula pesa umechoka kama nini wacheni watuseme mwisho wa siku kama unaweza improve maisha yako usione haya sababu ukikosa hata pesa ya betting hamna atakae kupa pesa kama yupo naaacha kubet
Jana nimempiga 18,000 Leo 22000 maisha yanaendaa 😂😂😋😋
 
toughlendon_1

toughlendon_1

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2018
Messages
442
Points
500
toughlendon_1

toughlendon_1

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2018
442 500
Kwani sijaweka loser tickets hapo mkuu?
mkuu sikuziona bahati mbaya nimerecheck nimeona ujue kamari ambayo ipo real ni betting ya mpira mana kila kitu kinajulikana ila sio yale madude yao ya kuzungusha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Crimea

Crimea

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2014
Messages
5,988
Points
2,000
Age
29
Crimea

Crimea

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2014
5,988 2,000
Mnaosema Betting haifai Mna suggest kitu gani kifanyike ila kuboresha maisha ya vijana? Tukalime? Ok Mazao gani? Tukafanye Biashara? Ok Biashara gani ya Mtaji wa laki ikakupa hata Elfu 20 per day? Asilimia kubwa ya wanaobeti ni Masikini walioamua kujiajiri kwa njia hiyo! Maana yake kwingine panahitaji mitaji mikubwa mfano leo hii ukiwa na Milioni 10 Mtaji Hakuna Biashara yoyote utakayoifanya ikaingiza Laki 5 faida kwa siku! Ila ukibadilisha kwa kubet Milioni 10 upate faida Laki 5 ni odd 1.05 Ila kwa Hali halisi ni vijana wangapi Tanzania Hii wenye Milioni 5 tu za Mitaji ya Biashara?? Ila kubeti inahitaji Buku tu! Piki piki inauzwa Milioni 2 ila kipande kwa siku ni 10k na ikumbukwe risk pia ipo tena kubwa, pikipiki inaweza ikapata ajali ikafa pamoja na dereva , inaweza ikiporwa, sasa hv kuna mvua inaweza ikaingia mimaji ikafa ikitokea hvyo unakuwa umelost 2M kwa kutafuta buku 10 per day ila kubeti ukiweka 20k ukatafuta odd 1.50 unapata 30k faida 10k kama mwenye boda boda tofauti yake wewe umetumia vidole tu ba bundle kuipata 10k mwenzio kaungua na jua mchana kutwa halafu Leo hii unanishauri niache kubeti wanaofilisika hawana nidhamu ya Biashara
Forex ukiwa na mtaji wa milion 10 ambazo ni sawa na dola 4000 kupata milioni 1 kwa siku siyo ishu
 
Million dollars

Million dollars

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2016
Messages
1,147
Points
2,000
Age
24
Million dollars

Million dollars

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2016
1,147 2,000
Forex ukiwa na mtaji wa milion 10 ambazo ni sawa na dola 4000 kupata milioni 1 kwa siku siyo ishu
Millioni 10 kupata millioni 1 huku kwenye betting ni odd 1.10 umeona tofauti? Odd 10 Unapata Millioni 100
 
Forum statistics

Threads 1,295,680
Members 498,336
Posts 31,219,473
Top