nimetembea na demu wa mshkaji

nimetembea na demu wa mshkaji

Wewe ni mchafu wa tabia . Hebu waache wenzio na mahusiano yao unauliza ufanye nini je hujui cha kufanya. Muache mwenzio na wewe tafuta wako. Halafu huyo mdada hajitambui nadhani. Usifikiri kua wewe utakapomchukua atakua mwaminifu kwako sahau bro. Hebu pia kapime huenda anataka kuwau wote wewe na rafiki yako.
 
Mazoea yalipitiliza; ukawa mlevi nayo... kujiamini kwako kwa muda mrefu ukaponzwa na maji ya dhahabu, yawe ya chupa ama ya mazoea. Angalau ungepunguza ulipoanza kuhisiwa! Endelea kuwa rafiki na ujipange kutunza wa kwako maana hata uwezo wa kumtunza huyo binti huna
 
Kweli hili bwegenaz achana dem wawa2 ukifumwa utageunzwa kaka take care.
 
Gegeda tuu yawezekana jamaa hamgegedui vizuri

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Yaani chap chap ushamgegeda
Tena toilet.. ni hamu au kitu gani; ninyi noma
 
Back
Top Bottom