mwananthropolojia
JF-Expert Member
- Oct 6, 2012
- 956
- 658
nimezoeana sana na demu wa rafiki yangu na mpaka leo ni marafiki wakubwa yeye na bwana wake,kuzoeana huko ilifika hatua bila mimi yule binti hafanyi kitu,akitaka kutoka lazima aniite,akitaka kusindikizwa sehemu bwana wake hayupo natafutwa mimi,mpaka jamaa akaanza kusema mi natembea na demu wake au nampenda demu wake. mana demu kutwa kucha lazima aniongelee akiwa na mshkaji,mi mshkaji kuniuliza nikakana kwani sikuwahi kutembea nae na nilikua najiamini siwez kufanya kitu kama hicho kwa mshkaji.
ila siku ya siku wakati nimeenda kumtembelea bwana wake akiwa sebuleni na washkaji wengine nae alikuepo jikoni. wakati naenda chooni kurudi nakutana nae korido, tukawa tumesimama tunaongea tukiwa tumekaribiana. sijui akili yangu ilihamia wapi katika sekunde chache tu nilivyomuangalia mdomoni nikapatwa na hamu ya kumkiss na hapohapo nikajikuta tunanyonyana ndimi haikuchukua mda nikawa nishamvua chupi yule binti chooni wakat bwana wake yupo sebulen wakipata maji ya dhahabu
baada ya kile kitendo nikawaza sana nikaona nichague moja urafiki au yule binti.nikaamua kuchagua rafiki kuanzia siku hiyo namuepuka binti kua nae karibu ingawa mwenyewe anajarb kujisogeza zaidi kwangu
jamani nifanyeje huyu binti ananisumbua? je niache kuwa rafiki yao ?