nimetembea na demu wa mshkaji

nimetembea na demu wa mshkaji

nimezoeana sana na demu wa rafiki yangu na mpaka leo ni marafiki wakubwa yeye na bwana wake,kuzoeana huko ilifika hatua bila mimi yule binti hafanyi kitu,akitaka kutoka lazima aniite,akitaka kusindikizwa sehemu bwana wake hayupo natafutwa mimi,mpaka jamaa akaanza kusema mi natembea na demu wake au nampenda demu wake. mana demu kutwa kucha lazima aniongelee akiwa na mshkaji,mi mshkaji kuniuliza nikakana kwani sikuwahi kutembea nae na nilikua najiamini siwez kufanya kitu kama hicho kwa mshkaji.

ila siku ya siku wakati nimeenda kumtembelea bwana wake akiwa sebuleni na washkaji wengine nae alikuepo jikoni. wakati naenda chooni kurudi nakutana nae korido, tukawa tumesimama tunaongea tukiwa tumekaribiana. sijui akili yangu ilihamia wapi katika sekunde chache tu nilivyomuangalia mdomoni nikapatwa na hamu ya kumkiss na hapohapo nikajikuta tunanyonyana ndimi haikuchukua mda nikawa nishamvua chupi yule binti chooni wakat bwana wake yupo sebulen wakipata maji ya dhahabu

baada ya kile kitendo nikawaza sana nikaona nichague moja urafiki au yule binti.nikaamua kuchagua rafiki kuanzia siku hiyo namuepuka binti kua nae karibu ingawa mwenyewe anajarb kujisogeza zaidi kwangu

jamani nifanyeje huyu binti ananisumbua? je niache kuwa rafiki yao ?

endelea kumgegeda tuu...ila hakikisha unamla kabang
 
mwananthropologia,
我認為跟你的朋友的女朋友有約了,非常不禮,別在跟她 (wo renwei gen nide pengyoude nupengyou feichang bulimao,bie zai gen ta )

wo xianzai bu gen ta shuo duo,wo paobu ta
 
Mimi ilinitokea, jamaa alimla demu wangu hivi hivi, mbaya zaid nilienda mkoa flan kikazi jamaa akawa amejipatia mke wa bwerere, nilikosa nimlaumu nani niache nani, Sikuwa na jinsi ila kuachana na wote, roho iliniuma sana, maana demu

kasema rafiki yangu alimshawish, rafiki yangu anasema aalitegwa sana akashindwa kujizuia, Nikawapotezea kabisa, sasa demu akanifuatilia akiomba msamaha, ilibid nimwambie akiedelea nampeleka police, akawa amenikoma kama...
..........., kwa sasa ingekuwa imenitokea tena na mwiz wangu ukawa wewe, NAKULISHA SUMU UFIE MBALI NYAU
 
我喜欢,但是认为它是否是面对此的您
 
unafaa sana kuwa msaidizi wake hata wa ndani maana ndiko ulikokuwa unaelekea,hebu kata mawasiliano na shemeji yako haraka iwezekanavyo ila namhurumia huyo rafiki yako kwa kupata mwanamke asiyejitambua na kuthamini utu wake.

Ndani ya dakika moja amepigwa denda na kuingiziwa mtalimbo pasipo hata ku-negotiate kweli huyo ni balaa maana sijui wote wawili walikuwa wana mawazo gani. kama jamaa amegundua kosa lake ni vizuri akaachana na hiyo business ikiwezekana si kumkimbia tu huyo demu bali amweleze kabisa kujutia hicho kitendo kilichofanyika
 
Uzuri huyo rafiki yako ni member humu na ameshasoma kilichoandikwa
 
lol mbona wanitisha hivyo

Ndo kifuatacho hicho tena watoto mapacha.

BTW; hivi inakuwaje watu mnakosa adabu kiasi hicho?
Na wewe ni mwanaume na unatarajia kuoa, utajisikiaje mkeo akikufanyia hivyo??

Alafu sema tu ukweli kwamba unataka kurudia hako kamchezo ila unaogopa kugundulika.
Ndo maana unashindwa kumuavoid huyo dada.
 
Story yako ni ya uwongo. Wewe si ulikuja juzi hapa na thread yako kuwa kuna demu umemfukuzia kwa zaidi ya 2yrs anakuzingua na ukamua kumtema na nikakuponda kuwa wewe siyo anthropologist. Leo hii umekuja na story ya demu wa rafiki yako. Have y'r way. Acha kuchezea akili zetu.

Tusubirie hadithi nyingine tena Kali zaidi
 
Hii stori imenikumbusha mbali sana, wanawake ni watu wa ajabu sana.
 
mkuu sina njia kukuaminisha,huyu sio demu wangu ajali tu imetokea

TO KNOW YOUR HISTORICAL ROOTS IS THE ONLY WAY TO BECOME A HUMAN BEING. IT IS THE ONLY WAY BE MORE THAN A NAKED APE. IT IS THE ONLY WAY TO AVOID FLOATING IN A VACUUM 'GERMAN POET GOETHE'

Mbona umetengeneza signature nzuri sana halafu wewe ndio unakuwa kinyume na huo ujumbe wako? hebu jaribu kuufuta kwanza au kubadili hiyo signature kisha urudi kama muhitaji tiba maana huwezi kuomba shilingi 200 wakati unaendesha shangingi.
 
Wewe hufai kwenye jamii yoyote hapa duniani. Ushauri wangu ni kuwa, meza fragyl tatu (vidonge) na bia moja ili kuondoa kabisa mawazo ya kula mademu wa rafiki zako. Itakusaidia sana.
 
Back
Top Bottom