moto2012
JF-Expert Member
- Jul 3, 2012
- 2,303
- 1,530
Huenda amegundua hanogi atiHongera sana aisee. Ungeendele nae tu kwani ni nini?
Huenda amegundua hanogi atiHongera sana aisee. Ungeendele nae tu kwani ni nini?
Kuumbe..!!
Sasa rafki 'ako akijua utashaa
shi zhende.buguo shi yige yiwai,wo yijing gaosu ta buguo ta hai lai yao wo jiba
hao qiguai a!!!
anyway keep the distance brodaaa, penzi la uizi huwa ni tamu siku zote.
Uongo nao pia ni kazi kuutunga.Yaani unataka kutuambia katika dakika hizo sifuri ukaweza kumbusu kumsaula na kumaliza mambo yako kwenye korido? Kama ni kweli wewe ndio utakua wale wa t**ko mbili wazungu hao!
nimezoeana sana na demu wa rafiki yangu na mpaka leo ni marafiki wakubwa yeye na bwana wake,kuzoeana huko ilifika hatua bila mimi yule binti hafanyi kitu,akitaka kutoka lazima aniite,akitaka kusindikizwa sehemu bwana wake hayupo natafutwa mimi,mpaka jamaa akaanza kusema mi natembea na demu wake au nampenda demu wake. mana demu kutwa kucha lazima aniongelee akiwa na mshkaji,mi mshkaji kuniuliza nikakana kwani sikuwahi kutembea nae na nilikua najiamini siwez kufanya kitu kama hicho kwa mshkaji.
ila siku ya siku wakati nimeenda kumtembelea bwana wake akiwa sebuleni na washkaji wengine nae alikuepo jikoni. wakati naenda chooni kurudi nakutana nae korido, tukawa tumesimama tunaongea tukiwa tumekaribiana. sijui akili yangu ilihamia wapi katika sekunde chache tu nilivyomuangalia mdomoni nikapatwa na hamu ya kumkiss na hapohapo nikajikuta tunanyonyana ndimi haikuchukua mda nikawa nishamvua chupi yule binti chooni wakat bwana wake yupo sebulen wakipata maji ya dhahabu
baada ya kile kitendo nikawaza sana nikaona nichague moja urafiki au yule binti.nikaamua kuchagua rafiki kuanzia siku hiyo namuepuka binti kua nae karibu ingawa mwenyewe anajarb kujisogeza zaidi kwangu
jamani nifanyeje huyu binti ananisumbua? je niache kuwa rafiki yao ?
shi zhende.buguo shi yige yiwai,wo yijing gaosu ta buguo ta hai lai yao wo jiba
你很喜歡女姓吧!你真是花花公子!
ni henxihuan nuxing ba! ni zhen shi huahua gongzi!
ndo mlivyokuwa mnaongea wkt mnafanya
mwananthropologia,
我認為跟你的朋友的女朋友有約了,非常不禮,別在跟她 (wo renwei gen nide pengyoude nupengyou feichang bulimao,bie zai gen ta )
ndo mlivyokuwa mnaongea wkt mnafanya
lol mei you nande buxihuan nuxing
ndio naomba msaada plz nifanyeje?