Dakika 45 za Mhe. Mwigulu Nchemba nilisikiliza kwa umakini mkubwa na baadaye nimekubaliana naye juu ya tozo ya miamala ya simu kwa sababu zifuatazo:- (1) Alitamka wazi kuwa makato yanayoelezwa na watu kuwa ni kubwa ni upotoshaji. Yeye alisema kama mtu atatuma mathalani Tshs.1,000,000 makato yake yatakuwa siyo zaidi ya Tshs...