FUSO;NotedMimi miaka mitatu nyuma nilipona pona kutapeliwa tena na mwanadada akijifanya yeye ni mtoto pekee wa mwenye nyumba - ambaye ndiye mama yake mzazi akidai kwamba anaishi nje ya nchi dubai kwa hiyo tumlipe pesa yeye.
Nyumba ilikuwa nzuri sana na bei wakati ule ilikuwa 400,000 kwa mwezi so nilitakiwa nilipe Tshs. 4.8m pesa ya mwaka. Roho wa Mungu alinitokea na kumwambia yule dada anipe bank account ili nikamwekee pesa!! hapo utata ukaanza kwamba yeye hana account ya benki, nikamwambia basi nimlipe kwa Mpesa pia akadai account yake ina matatizo.
Baada ya kutoelewana kwamba mimi sitoi pesa CASH, wakashauriana na yule dalali kwamba kama sina nia na nyumba niiachie wengine walipie - kwani kulikuwa na wengine nje wakiwa na gari wakisubiri kuiona (nafikiri matapeli wenzao).
Nilivyotoka tu nje na rafiki yangu tukiwa tayari kuondoka, pembeni kidogo akatuita mzee mmoja akatuambia hiyo nyumba ni mali ya jamaa akatutajia jina na hapangishi - wale ni matapeli.
Tulitoka moja kwa moja hadi police, tuliporudi pale hakukukuta mtu na nyumba ilikuwa imefungwa. hapo ndiyo ikawa pona yangu -- I never pay more than 1m Tshs in cash.
ndo na mi nashangaaKitakua Choo!
mil 6 si unanunua kiwanja na kujenga vyumba viwili vya kuanzia maisha?au mnaonaje
Mmh hiyo nyumba ulionunua sinza kwa remmy kwa m6 mbona hata kibanda hakiuzwi hivyo au ulipanga sidhani kama sinza kuna nyumba ya m6 fafanua zaidi
Mke wa mtu umeambiwa ni nyumba ya kupanga. Husomi vizuri unarukia ku comment.sinza kuna nyumba hadi za ziadi ya hapo ndugu yangu, mimi nimekaa sana sinza napaelewa vizuri nyumba za kule zinabei sana tena nyingine unakutana haina hata hadhi ya kiivyo lakini uliza kodi utashangaa
kwani me nimeongelea nyumba ya kununua? au wewe ndo hujanielewa?Mke wa mtu umeambiwa ni nyumba ya kupanga. Husomi vizuri unarukia ku comment.
Sijawahi sifiwa hata siku mojahujawahi hata kusifiwa na wadawa wa kitaa hivi? au hata wamama (ila usimuamini mama yako. watu wanasemaga my cute boy ama gelo ila nikiangalia natamani kupiga yowe)
Namba 0656389300 Imesajiliwa kwa jina la NELSON NJILA
Mkuu nmecheka sana, sasa demu ulimwambiaje? Au ndo mapenzi yaliishia hapo?Mimi sina hamu na matapeli wa sinza nilitapeliwa laki sita kwenda kituo cha polisi kumbe yule tapeli anajulikana sana pale kituoni ila kumkamta ndio inakuwa shida. Hawa jamaa wako makini sana kukanatika sio rahisi. Mimi nilimwachia Mungu ingawa nilikuwa nampangishia demu
Pole sana;
Dar tunatapeliwa hivyo hivyo ila wewe wamekufaidi sana.
acheni kujidanganya, utanunua kiwanja shilingi ngapi kwa hapa Dar? halafu unajenga nyumba ya Makuti isiyo na umeme au?
mh kiukweli huwezi jenga kwa hela hiyo
Afadhali na ww umeliona hilo me mwenyewe nilishangaa eti m6 mtu anunue kiwanja na ajenge jaman wakat hyo hela ni ya kiwanja peke yake na inaweza isitoshe