Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,939
- 43,569
Tumuiete tu shem ake make ni mgeni wa kummaaa

kavamia mtumbwi wa vibwengo wa jf hahahah kweli usije mjini kichwa kichwaTumuiete tu shem ake make ni mgeni wa kummaaa

kavamia mtumbwi wa vibwengo wa jf hahahah kweli usije mjini kichwa kichwa
Fanya utume mkuu hata sijui tunakosea wapiNaww unataka?
Nimeingia daslade juzi sina hata mwezi asee,
sema nn hapo ndo nlipobug qmmke!

pole sanaMungu akulipe upuuzi wako?Asee leo baada ya kutapeliwa kizembe nimeamini yale maneno ya taikoni la fasihi, usimwamini mwanamke wala kumwonea huruma!
Kuna demu humu kapost anataka mume mie nkampandia hewani, tukaekana sawa, tatizo likaja kwenye kuonana, demu akadai hana pesa nkamtigo pesa alufu 50 chap na yakutolea.
Cha ajabu hapokei simu tena wala kujibu msg! We mdada ulonilaghai kwa maneno matamu kua unaniletea mbususu na umenizulumu pesa yangu namwachia Mungu atanilipia! Hapa nilipo moyo unanienda kasi sana na tumachozi twa mbali.
Kuanzia leo sitasubutu kutumia mtoto wa mtu nauli! Hapa nilipo najilaumu sana ni bora ningeingia hapo juliana nkapiga kitimoto na serengeti light baridiiiii...
Ushahidi wote nnao,mpaka picha zake!
Safari hii kavamia mtumbwi wa vibwengo!
View attachment 2415945
Na nikampiga marufuku kuendelea kuwepo humu maana kuna mafisi... nina zawadi nae katulia tuli anafuata masharti mtanga wangu.Wewe utakuwa ulifaidi, hadi hujuti mkuuitakuwa ulimfaidi mtanga. Watu humu mnainjoy sana...
Bolt angekuja nayo ulipe mwenyewe au siku hizi bolt wanalipa before rideAnatoka maramba 2 ..bolt af 17 times 2 go & return plus ya maji njian!
Asee leo baada ya kutapeliwa kizembe nimeamini yale maneno ya taikoni la fasihi, usimwamini mwanamke wala kumwonea huruma!
Kuna demu humu kapost anataka mume mie nkampandia hewani, tukaekana sawa, tatizo likaja kwenye kuonana, demu akadai hana pesa nkamtigo pesa alufu 50 chap na yakutolea.
Cha ajabu hapokei simu tena wala kujibu msg! We mdada ulonilaghai kwa maneno matamu kua unaniletea mbususu na umenizulumu pesa yangu namwachia Mungu atanilipia! Hapa nilipo moyo unanienda kasi sana na tumachozi twa mbali.
Kuanzia leo sitasubutu kutumia mtoto wa mtu nauli! Hapa nilipo najilaumu sana ni bora ningeingia hapo juliana nkapiga kitimoto na serengeti light baridiiiii...
Ushahidi wote nnao,mpaka picha zake!
Safari hii kavamia mtumbwi wa vibwengo!
View attachment 2415945
Naomba VPN za Tigo na Airtel.
Mkuu naomba nitumie hata 100k tuu niongezee kamtaji kangu kwenye biashara hapa maana salio linaonekana sio haba0765666353View attachment 2415951

Upo tayar kutoa mbususu?Mkuu naomba nitumie hata 100k tuu niongezee kamtaji kangu kwenye biashara hapa maana salio linaonekana sio haba
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kama aliniloga kwa sauti yake nyororo
Kuna vitu vya kulaumiana lkn sio swala hili mkuu,
Nyeg nazo zimechangia!
KINGINE DEM ANAJUA KUPANGILIA MANENO MATAMU WACHA KABISA,NADHANI HILI LITAKUA LIPOROFESHINO.