Nimetapeliwa mwenzenu!

Nimetapeliwa mwenzenu!

Asee leo baada ya kutapeliwa kizembe nimeamini yale maneno ya taikoni la fasihi,usimwamini mwanamke wala kumwonea huruma! Kuna dem humu kapost anataka mume mie nkampandia hewani,tukaekana sawa,tatizo likaja kwenye kuonana,dem akadai hana pesa nkamtigo pesa alufu 50 chap na yakutolea..chaajab hapikei sim wala kujib msg! We mdada ulonilaghai kwa maneno matamu kua unaniletea mbususu na umenizulumu pesa yangu namwachia Mungu atanilipia! Hapa nilipo moyo unanienda kasi sana na tumachoz twa mbali.
Kuanzia leo sitasubutu kutumia mtoto wa mtu nauli! Hapa nilipo najilaumu sana ni bora ningeingia hapo juliana nkapiga kitimoto na serengeti light baridiiiii...
Swain!!
We' ni bwege laana mkubwa,hela ya mjinga uliwa na mjanja. Mothr fvc..ker

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
.
Ulitumaje hela bila kupata huduma kwanza?
.
Ulikubalije kutuma hela kwa mtu ambae hujawahi hata kumwona?
 
Ni kama aliniloga kwa sauti yake nyororo
Kuna vitu vya kulaumiana lkn sio swala hili mkuu,
Nyeg nazo zimechangia!
KINGINE DEM ANAJUA KUPANGILIA MANENO MATAMU WACHA KABISA,NADHANI HILI LITAKUA LIPOROFESHINO.
Kweli kaka nyege ni mbaya sana asee ila Siku ingine jitahidi akili zishinde hisia kaka Bila ivo wadau watakuliza sana Comrade
 
Watu waliuponda ule uzi, "usimwonee huruma kabisa mwanamke.." ila mimi nauheshimu na umebadilisha sana life langu ndani ya muda mfupi.
Mwanamke hana shukrani wala hakumbuki fadhila za mtu akipata mfadhili mwingine.
Naunga mkojo hoja
 
Asee leo baada ya kutapeliwa kizembe nimeamini yale maneno ya taikoni la fasihi,usimwamini mwanamke wala kumwonea huruma! Kuna dem humu kapost anataka mume mie nkampandia hewani,tukaekana sawa,tatizo likaja kwenye kuonana,dem akadai hana pesa nkamtigo pesa alufu 50 chap na yakutolea..chaajab hapikei sim wala kujib msg! We mdada ulonilaghai kwa maneno matamu kua unaniletea mbususu na umenizulumu pesa yangu namwachia Mungu atanilipia! Hapa nilipo moyo unanienda kasi sana na tumachoz twa mbali.
Kuanzia leo sitasubutu kutumia mtoto wa mtu nauli! Hapa nilipo najilaumu sana ni bora ningeingia hapo juliana nkapiga kitimoto na serengeti light baridiiiii...
Swain!!
Hizi akili hizi sijui mna shida gani!!!! AMEKUAMBIA ANAHITAJI MUME; Very straightforward halafu wewe unawaza kumchezea.....

HONGERA KWAKE ingawa SIUNGI mkono kuchukua mali ya mtu...
 
Wasomaji wenzangu wanakurupuka kutoa maoni badala ya kuthibitisha hoja kama ni kweli au laa.

Mwizi au tapeli siyo wa kumficha. Kama wewe mtoa hoja umetapeliwa kweli, kwa nini usiweke jina la tapeli huyo tumsute?

Msiwadhalilishe wanawake kwa kusaka followers na points.

Logic
Logic
Logic
 
Back
Top Bottom