Nimetapeliwa mwenzenu!

Nimetapeliwa mwenzenu!

Ulimtumia hela singo maza hapo katumia elf 15 kununua unform za mtoto aliezalishwa na mwanaume mwenzako na madaftari ya elf 5, elf 30 iliyobaki, elfu 10 kanunua luku, elf 3 sukari kilo moja, elfu mbili akatumia nauli kwenda saluni alafu elfu 15 kaenda kusuka ili atengeneze muonekano mzuri kwaajili ya biashara yake ya udangaji
 
Hata wewe umeshindwa kumtaja.

Kama kamtaja si ungesema hapa kuwa kamtaja fulanj?

Tunapenda sana ubuyu bila facts
Kwani hukusoma comment mkuu maana kamtaja zaidi ya mara 3 kwenye comment. Yeye kamtaja Iyola99 na huyo member juzi tuu alianzisha uzi anatafuta mume, kwahiyo wametapeliana katika process za mke/ mme mwema anatoka jeiefu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo ndo maneno.

Sikuona Iyola kwenye poat yake ya kwanza
 
Asee leo baada ya kutapeliwa kizembe nimeamini yale maneno ya taikoni la fasihi, usimwamini mwanamke wala kumwonea huruma!

Kuna demu humu kapost anataka mume mie nkampandia hewani, tukaekana sawa, tatizo likaja kwenye kuonana, demu akadai hana pesa nkamtigo pesa alufu 50 chap na yakutolea.

Cha ajabu hapokei simu tena wala kujibu msg! We mdada ulonilaghai kwa maneno matamu kua unaniletea mbususu na umenizulumu pesa yangu namwachia Mungu atanilipia! Hapa nilipo moyo unanienda kasi sana na tumachozi twa mbali.

Kuanzia leo sitasubutu kutumia mtoto wa mtu nauli! Hapa nilipo najilaumu sana ni bora ningeingia hapo juliana nkapiga kitimoto na serengeti light baridiiiii...

Swain!!
Wazee wenzangu wa kuweka mzigo kubeti njooni muone kanji alivyompiga mbetiji mwenzenu.

😀😀😀😀
 
Hizi akili hizi sijui mna shida gani!!!! AMEKUAMBIA ANAHITAJI MUME; Very straightforward halafu wewe unawaza kumchezea.....

HONGERA KWAKE ingawa SIUNGI mkono kuchukua mali ya mtu...
Huwa najiuliza hawa wanaotafuta waume humu hivi wako serious kweli!! Haya sasa hao ndio watafutwaji🙆🙆🙆
 
Yey anatafuta mume alafu wew unamtumia nauli wew unakichanjaaa

Wakat anaetafuta kazi anaend kwenye usaili na nauli yake
 
Asee leo baada ya kutapeliwa kizembe nimeamini yale maneno ya taikoni la fasihi, usimwamini mwanamke wala kumwonea huruma!

Kuna demu humu kapost anataka mume mie nkampandia hewani, tukaekana sawa, tatizo likaja kwenye kuonana, demu akadai hana pesa nkamtigo pesa alufu 50 chap na yakutolea.

Cha ajabu hapokei simu tena wala kujibu msg! We mdada ulonilaghai kwa maneno matamu kua unaniletea mbususu na umenizulumu pesa yangu namwachia Mungu atanilipia! Hapa nilipo moyo unanienda kasi sana na tumachozi twa mbali.

Kuanzia leo sitasubutu kutumia mtoto wa mtu nauli! Hapa nilipo najilaumu sana ni bora ningeingia hapo juliana nkapiga kitimoto na serengeti light baridiiiii...

Swain!!
Repoti kuwa umekosea muamala ....
 
Mwenzako anataka kuolewa wee unataka mbususu tuu alafu umwache!!nyambafu kabisa nampongeza huko aliko abarikiwe sana
 
Back
Top Bottom