Nimetapeliwa mwenzenu!

Nimetapeliwa mwenzenu!

mkuu uliomba vitu vizito
Mkuu silagi tope!
Ukisoma vzur hapo kuna mbaba mwengine wa Kimara nae katuma alufu 7 sa cjajua kati yangu na huyo mbaba nani aliomba tope,labda aje awaambie vzur
 
Mimi apa IYOLA NISEME TU UKWELI SPARK AJAWAI NIPA MIMI ELFU AMSINI NA YA KUTOLEA ZAID SPARK ALITAK CHINI INGAWAJE MIMI NILIITAJI SERIOUS MWENZA WA MAISHA KINGINE SI LAHISI MIMI KUDO SEX FOR FIRST TIME NA MTU NDO MNAENDA KUONANA NAE KWA MARA YA KWANZA
PLZ SPARK SIPENDI UGOMVI WALA SINA ROHO MBAYA MIMI MWAMBIE AKUTUMIE SMS YA MUAMALA YA IYO ELFU 50K
YANI WANAUME WA JF NILIWAONA WENGI NI INTELLIGENT AND CLEVER LAKINI NASIKITIKA KUSEMA UKWELI ASILIMIA 89 YA WANAUME WA JF NI WALE WA KUFAKE MAISHA KUFAKE ANYTHING... ,NEITHER THEY ARE NOT SMART ,CLEVER NOR INTELLIGENT
ANYMORE ....NILIZINGATIA SANA UMRI MAANA NILIJUA NINGEKUTAN NA WATOTO NAMM SIPENDI WATOTO KABISA AKIL ZAO KAMA IZI
SPARK UMEPAT NINI BAADA Y KUNICHAFUA
Kama nakusingizia hio namba ni ya nani?
Je unaitambua au huitambui???
Acha tamaa za kijinga binti,shida (njaa) haziishi!
So uliomba nikutumie pesa ilihali ukijua huwezi kuja kuitumikia (kutoa mbususu) kama unavodai tulikubaliana kwa mujibu wa maelezo yako hapo juu?
Ulichokua unataka ni pesa yangu tu na sio kuja kutoa mbunye kama yalivokua makubaliano yetu?
Huoni kama umekiuka makubaliano yetu tuliopanga? Huoni kama huo ni utapeli na wizi wa kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu?
Nakushauri wacha hii tabia mara moja,usirudie tena kwa mtu mwengine.
Ww ndo mwenye akili za kitoto na unafeki maisha so ulitegemea ningenyamaza ili uendelee kutapeli watu wengine humu?
Na kama ulikua na shida ya pesa si ungeniomba tu kistaarabu,nione kama naweza kukusaidia ama laah!
Screenshot_20221114-010552.jpg
 
Kama nakusingizia hio namba ni ya nani?
Je unaitambua au huitambui???
Acha tamaa za kijinga binti,shida (njaa) haziishi!
So uliomba nikutumie pesa ilihali ukijua huwezi kuja kuitumikia (kutoa mbususu) kama unavodai tulikubaliana hapo juu?
Huoni kama umekiuka makubaliano yetu tuliopanga? Huoni kama huo ni utapeli na wizi wa kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu?
Nakushauri wacha hii tabia mara moja,usirudie tena kwa mtu mwengine.
Ww ndo unafeki maisha so ulitegemea ningenyamaza ili uendelee kutapeli watu wengine humu?
Na kama ulikua na shida ya pesa si ungeniomba tu kistaarabu,nione kama naweza kukupatia ama laah!
View attachment 2416955
Ukiombwa kistaarabu unataka mpaka upewe mbususu ndio maana akaona akutapeli mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama nakusingizia hio namba ni ya nani?
Je unaitambua au huitambui???
Acha tamaa za kijinga binti,shida (njaa) haziishi!
So uliomba nikutumie pesa ilihali ukijua huwezi kuja kuitumikia (kutoa mbususu) kama unavodai tulikubaliana kwa mujibu wa maelezo yako hapo juu?
Ulichokua unataka ni pesa yangu tu na sio kuja kutoa mbunye kama yalivokua makubaliano yetu?
Huoni kama umekiuka makubaliano yetu tuliopanga? Huoni kama huo ni utapeli na wizi wa kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu?
Nakushauri wacha hii tabia mara moja,usirudie tena kwa mtu mwengine.
Ww ndo mwenye akili za kitoto na unafeki maisha so ulitegemea ningenyamaza ili uendelee kutapeli watu wengine humu?
Na kama ulikua na shida ya pesa si ungeniomba tu kistaarabu,nione kama naweza kukusaidia ama laah!
View attachment 2416955
Em hold on, siku hizi mnatuma elfu 50 kwa tozo kubwa hivyo??

Mmhhh!

Cc To yeye Demi
 
Mimi apa IYOLA NISEME TU UKWELI SPARK AJAWAI NIPA MIMI ELFU AMSINI NA YA KUTOLEA ZAID SPARK ALITAK CHINI INGAWAJE MIMI NILIITAJI SERIOUS MWENZA WA MAISHA KINGINE SI LAHISI MIMI KUDO SEX FOR FIRST TIME NA MTU NDO MNAENDA KUONANA NAE KWA MARA YA KWANZA
PLZ SPARK SIPENDI UGOMVI WALA SINA ROHO MBAYA MIMI MWAMBIE AKUTUMIE SMS YA MUAMALA YA IYO ELFU 50K
YANI WANAUME WA JF NILIWAONA WENGI NI INTELLIGENT AND CLEVER LAKINI NASIKITIKA KUSEMA UKWELI ASILIMIA 89 YA WANAUME WA JF NI WALE WA KUFAKE MAISHA KUFAKE ANYTHING... ,NEITHER THEY ARE NOT SMART ,CLEVER NOR INTELLIGENT
ANYMORE ....NILIZINGATIA SANA UMRI MAANA NILIJUA NINGEKUTAN NA WATOTO NAMM SIPENDI WATOTO KABISA AKIL ZAO KAMA IZI
SPARK UMEPAT NINI BAADA Y KUNICHAFUA
😂😂😂 Smart911 njoo unitag nilivyokuibia sikuile.....mbona hujawahi sema au ndo ushazoea matukio.... Iyola99 & Spark wamekichafua huku
 
Wewe Jirani hunaga njaa njaa...

Wala hujawahi nigasi na mambo ya kuniomba omba pesa wala kuniletea shida zako...

Siku ukiniomba nakufungulia thread Jirani hahahaha....
 
Asee leo baada ya kutapeliwa kizembe nimeamini yale maneno ya taikoni la fasihi, usimwamini mwanamke wala kumwonea huruma!

Kuna demu humu kapost anataka mume mie nkampandia hewani, tukaekana sawa, tatizo likaja kwenye kuonana, demu akadai hana pesa nkamtigo pesa alufu 50 chap na yakutolea.

Cha ajabu hapokei simu tena wala kujibu msg! We mdada ulonilaghai kwa maneno matamu kua unaniletea mbususu na umenizulumu pesa yangu namwachia Mungu atanilipia! Hapa nilipo moyo unanienda kasi sana na tumachozi twa mbali.

Kuanzia leo sitasubutu kutumia mtoto wa mtu nauli! Hapa nilipo najilaumu sana ni bora ningeingia hapo juliana nkapiga kitimoto na serengeti light baridiiiii...

Ushahidi wote nnao,mpaka picha zake!
Safari hii kavamia mtumbwi wa vibwengo!

View attachment 2415945
Ukiamua kugawa zawadi usije humu kulalama🥱
 
50,000 yazua kizaazaa.

Kumbe watu wanaweza kufanya makubaliano kabisa ya kuuza na kununua. Sasa mkishindwana kwa nini ulete huku?

Mleta mada, next time hakikisha pesa inafatwa, usithubutu kutuma nauli tena...unless of oz awe tayari ni wako.

Kosa la mleta mada.
 
Wewe Jirani hunaga njaa njaa...

Wala hujawahi nigasi na mambo ya kuniomba omba pesa wala kuniletea shida zako...

Siku ukiniomba nakufungulia thread Jirani hahahaha....
😳mimi siombi? Au umekosea kuquote?.....nifungulie thread uone utakavyotrend.😉
 
Back
Top Bottom