Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,974
- 35,341
Weee asubutu siwezi rudia huu ujinga tena!
safi.Weee asubutu siwezi rudia huu ujinga tena!
safi.Itakua kwel,mana lijamaa linasound kali sana..kama mpopopma lazima likunyooshe.Hahahahaah yule alikua kimkakati sana mkuu. Kila uzi unaohusu mapenzi unamkuta anatia huruma.
Lazima ni dume lile na nahisi lishawapiga wengi sema wewe ndo umetoka kifua mbele kuelezea maswahibu.
Wajinga ndio wanaoliwa siku zoteKapesa kote nilimtumia mwali wao
Hata leo sijakula kitu napiga miayo tu hapa mkuu.
Yaah lazima liwe na sound kali coz anajua wanaume tunapenda nini, utofauti wetu wanaume ni mdogo sana.Itakua kwel,mana lijamaa linasound kali sana..kama mpopopma lazima ujae kingi!
Kijichi na mabwepande ziko wap mkuu yan napanda dala dala za uelekeo ganIko kijichi kama waenda mabwe pande!
Mkuu siobkosa langu,hata ingekua ww ungetumaSema jamaa una hela za kuchezeaa sanaa.. 50K kizembeee tu unaliwaaa
Wewe ni mzoefuAlways mapenzi ya mtandaoni yaaendeshwa kwa uongo hadi mtakapo meet ndio
mtaaza ambiana ukweli na kuombana msamaha kwa mauongo yaliotokea huko nyuma.
Always ukiniambia uko Tanga namimi ujue naishi Tanga hapo hapo,ukiniambia ila kwasasa nimesafiri nimekuja MWANZA, namimi ntakujibu Nmesafiri nipo kigoma.
Hamna mahali tutakuta maongezi yakutumiana nauli,
Yani Ulipo NIPO.
Changanyiken iko upande upi? Kimara, mbagala au gongo la mboto, kigambon au njia ya bagamoyoDaladala za kwenda changanyikeni!
Oohh apo sawa mkuu chanika nakufahamuChanica
Single Man yeyote lazima upitie huu uzoefu otherwiseWewe ni mzoefu
Mbezi Beach "B" njia ya kwenda White Sand mkuuJuliana iko sehem gan hapa dar wengine wageni sie
Unawapigia huduma Kwa wateja, kuwa ulifanya muamala Kwa kukosea zikaenda Kwa mtu mwingine.So wao wanamtafuta kumwambia arudishe pesa ,sababu yeye akuwa mlengwa wa hizo pesa.Kivipi na ashatoa mkuu,nieleze vzur
Kaka ni true story usinilaumu mana unanionea bure,mtoto alivokua analalamika kwenye sim hata laki ungetuma! Mtoto anasauti kama kinanda