Nimetapeliwa mwenzenu!

Nimetapeliwa mwenzenu!

Asee leo nimeamini yale maneno ya taikoni wa fasihi,usimwamini mwanamke wala kumwonea huruma! Kuna dem humu kapost anataka mume mie nkampandia hewani,tukaekana sawa,tatizo likaja kwenye kuonana,dem akadai hana pesa nkamtigo pesa alufu 50 chap na yakutolea..chaajab hapikei sim wala kujib msg! We mdada ulonilaghai kwa maneno matamu kua unaniletea mbususu na umenizulumu pesa yangu namwachia Mungu atanilipia! Hapa nilipo moyo unanienda kasi sana na tumachoz twa mbali.
Kuanzia leo sitasubutu kutumia mtoto wa mtu nauli! Hapa nilipo najilaumu sana ni bora ningeingia hapo juliana nkapiga kitimoto na serengeti light baridiiiii...
Swain!!
Hiyo pesa umelitumia dume mwenzio huenda yuko manzese anakusoma hapa anacheeka
 
IMG-20221103-WA0021.jpg
 
Ha ha ha Ila sema tu ukweli Mkuu, ulikuwa unataka mke? Au ule tu mbususu usepe
 
Back
Top Bottom