Tuma tuu hiyo hela mbususu utapewaUpo tayar kutoa mbususu?
Kama ndio njoo pm tuyajenge.
Kwahiyo unataka utume tu hela na kupewa mbususu hapo hapo????Natuma hewani?
Na mbususu nayo natumiwa pm au?
Haya tuma hiyo laki nikuletee mbususu chapKuna cha bure saivi?
Mbususu umpe mwengine huko mi nkutumie pesa za bure bure tu?
Nipe nikupe ndo kauli mbiu!
Hii ndio ilee...."Samahani namba unayopiga umepigwa"....iko mambo hapoAsee leo baada ya kutapeliwa kizembe nimeamini yale maneno ya taikoni la fasihi, usimwamini mwanamke wala kumwonea huruma!
Kuna demu humu kapost anataka mume mie nkampandia hewani, tukaekana sawa, tatizo likaja kwenye kuonana, demu akadai hana pesa nkamtigo pesa alufu 50 chap na yakutolea.
Cha ajabu hapokei simu tena wala kujibu msg! We mdada ulonilaghai kwa maneno matamu kua unaniletea mbususu na umenizulumu pesa yangu namwachia Mungu atanilipia! Hapa nilipo moyo unanienda kasi sana na tumachozi twa mbali.
Kuanzia leo sitasubutu kutumia mtoto wa mtu nauli! Hapa nilipo najilaumu sana ni bora ningeingia hapo juliana nkapiga kitimoto na serengeti light baridiiiii...
Ushahidi wote nnao,mpaka picha zake!
Safari hii kavamia mtumbwi wa vibwengo!
View attachment 2415945
0765666353View attachment 2415951
😂😂Ngedere Tena Bora hata ungetuma afu Tatu😂😂😂😂Yani najuta na hizi ngedere za humu!!
Over🤣🤣🤣🤣🤣🤣One man down
Mimi apa IYOLA NISEME TU UKWELI SPARK AJAWAI NIPA MIMI ELFU AMSINI NA YA KUTOLEA ZAID SPARK ALITAK CHINI INGAWAJE MIMI NILIITAJI SERIOUS MWENZA WA MAISHA KINGINE SI LAHISI MIMI KUDO SEX FOR FIRST TIME NA MTU NDO MNAENDA KUONANA NAE KWA MARA YA KWANZAHuyo dada Ameupiga mwingi sana Asee japo we ni mwanaume mwenzangu ila kwenye hili lazima Nikucheke kwa nguvu sana we unamtumiaje mtu 50k bila hata kumfahamu af kingine ambacho inabidi ujifunze mzee ni kujifunza kutongoza mzee we unatafuta vipi mke mtandaoni ina maana kwenye pita pita zako hujaona dada ukaanzisha mahusiano nae asee hadi utongoze dada usiemjua hata sura . Kwa hili sikupi hata pole bali nakueleza siku ingine kuwa na akili bro Mjini hapa usiingie kichwa kichwa
Mimi apa IYOLA NISEME TU UKWELI SPARK AJAWAI NIPA MIMI ELFU AMSINI NA YA KUTOLEA ZAID SPARK ALITAK CHINI INGAWAJE MIMI NILIITAJI SERIOUS MWENZA WA MAISHA KINGINE SI LAHISI MIMI KUDO SEX FOR FIRST TIME NA MTU NDO MNAENDA KUONANA NAE KWA MARA YA KWANZA
PLZ SPARK SIPENDI UGOMVI WALA SINA ROHO MBAYA MIMI MWAMBIE AKUTUMIE SMS YA MUAMALA YA IYO ELFU 50K
YANI WANAUME WA JF NILIWAONA WENGI NI INTELLIGENT AND CLEVER LAKINI NASIKITIKA KUSEMA UKWELI ASILIMIA 89 YA WANAUME WA JF NI WALE WA KUFAKE MAISHA KUFAKE ANYTHING... ,NEITHER THEY ARE NOT SMART ,CLEVER NOR INTELLIGENT
ANYMORE ....NILIZINGATIA SANA UMRI MAANA NILIJUA NINGEKUTAN NA WATOTO NAMM SIPENDI WATOTO KABISA AKIL ZAO KAMA IZI
SPARK UMEPAT NINI BAADA Y KUNICHAFUA


…una cha kujitetea binti?Kaonesha muamala wa Tigo pesa umemkwara lififty lake…una cha kujitetea binti?


Huyo binti ni mwizi,tapeli na mwongo sana,kuna sehemu kajibu kule kwenye uzi wake eti nilimuomba tgo! (Ndogo) ndo sababu akaamua kunipiga hio 50k! Hapa anakuja na hadithi nyingine za kijinga.Kaonesha muamala wa Tigo pesa umemkwara lififty lake…una cha kujitetea binti?
Attachment haifunguki mkuu 🤪 rudiaaaHuyo binti ni mwizi tena tapeli la kimataifa,kuna sehemu kajibu kule kwenye uzi wake eti nilimuomba tigo! (Ndogo) ndo mana akaamua kunipiga hio 50k! Hapa anakuja na hadithi nyingine
Mi nimemsamehe bure sababu ana njaa na shida zake binafsi! Kikubwa bado napumua ntapata tu pesa zengine,ila asijethubutu kumfanyia mtu mwengine kitendo alichonofanyia sababu watamtatua marinda.Sina muda wa kujibishana nae,namtakia kila la kheri katika safari yake ya maisha ila atambue hii dunia ni ndogo sana.
View attachment 2416940