Unampaje pole wakati hii inaonekana ni chai kabisa mkuu!? Hivi mwanaume unaanzaje kutuma hell kwa mtu hsiyemjua wala hamjaonana?Pole sana mkuu!
Hatutakua na neno zaidi ya TULIWAAMBIA.bora ningeingia hapo juliana nkapiga kitimoto na serengeti light baridiiiii...
Swain!!
Well said!Dah pole ila acha UJINGA usipende kuonga siku zote wanawake tabia ZAO and it's THEIR NATURE NDIO MAANA MAREHEMU ALBERT MANGWAIR ALISEMAGA KWENYE RAP ZAKE WE UNAONGA SISI TUNAMEGA KISELA KWAIYO ELA ULIYOMPA MSELA KAENDA KUENJOY NAKUMEGA KISELA BADILIKA HII NI KARNE YA 21. USIMWAMINI MWANAMKE ASILIMIA 100
Huyo dada Ameupiga mwingi sana Asee japo we ni mwanaume mwenzangu ila kwenye hili lazima Nikucheke kwa nguvu sana we unamtumiaje mtu 50k bila hata kumfahamu af kingine ambacho inabidi ujifunze mzee ni kujifunza kutongoza mzee we unatafuta vipi mke mtandaoni ina maana kwenye pita pita zako hujaona dada ukaanzisha mahusiano nae asee hadi utongoze dada usiemjua hata sura . Kwa hili sikupi hata pole bali nakueleza siku ingine kuwa na akili bro Mjini hapa usiingie kichwa kichwaAsee leo nimeamini yale maneno ya taikoni wa fasihi,usimwamini mwanamke wala kumwonea huruma! Kuna dem humu kapost anataka mume mie nkampandia hewani,tukaekana sawa,tatizo likaja kwenye kuonana,dem akadai hana pesa nkamtigo pesa alufu 50 chap na yakutolea..chaajab hapikei sim wala kujib msg! We mdada ulonilaghai kwa maneno matamu kua unaniletea mbususu na umenizulumu pesa yangu namwachia Mungu atanilipia! Hapa nilipo moyo unanienda kasi sana na tumachoz twa mbali.
Kuanzia leo sitasubutu kutumia mtoto wa mtu nauli! Hapa nilipo najilaumu sana ni bora ningeingia hapo juliana nkapiga kitimoto na serengeti light baridiiiii...
Swain!!
NDIO UJIFUNZE USIWE MUONGAJI KI HALI HALISI MWANAMKE AKUPE DAYE KWA DHATI HAWEZI AKATAKA UMUONGE UKIONA UKO NA DEMU VIBOMU VINGI JUA IYO NI RED FLAGWell said!
Kaka ni true story usinilaumu mana unanionea bure,mtoto alivokua analalamika kwenye sim hata laki ungetuma! Mtoto anasauti kama kinandaUnampaje pole wakati hii inaonekana ni chai kabisa mkuu!? Hivi mwanaume unaanzaje kutuma hell kwa mtu hsiyemjua wala hamjaonana?
Asee leo nimeamini yale maneno ya taikoni wa fasihi,usimwamini mwanamke wala kumwonea huruma! Kuna dem humu kapost anataka mume mie nkampandia hewani,tukaekana sawa,tatizo likaja kwenye kuonana,dem akadai hana pesa nkamtigo pesa alufu 50 chap na yakutolea..chaajab hapikei sim wala kujib msg! We mdada ulonilaghai kwa maneno matamu kua unaniletea mbususu na umenizulumu pesa yangu namwachia Mungu atanilipia! Hapa nilipo moyo unanienda kasi sana na tumachoz twa mbali.
Kuanzia leo sitasubutu kutumia mtoto wa mtu nauli! Hapa nilipo najilaumu sana ni bora ningeingia hapo juliana nkapiga kitimoto na serengeti light baridiiiii...
Swain!!
Ni kama aliniloga kwa sauti yake nyororoHuyo dada Ameupiga mwingi sana Asee japo we ni mwanaume mwenzangu ila kwenye hili lazima Nikucheke kwa nguvu sana we unamtumiaje mtu 50k bila hata kumfahamu af kingine ambacho inabidi ujifunze mzee ni kujifunza kutongoza mzee we unatafuta vipi mke mtandaoni ina maana kwenye pita pita zako hujaona dada ukaanzisha mahusiano nae asee hadi utongoze dada usiemjua hata sura . Kwa hili sikupi hata pole bali nakueleza siku ingine kuwa na akili bro Mjini hapa usiingie kichwa kichwa
huyu demu nishamkumbuka si wa siku zile au tuliyekuwa tunaforce kaka Mshana Jr achukue koloniView attachment 2414909


🤣🤣🤣 me nilijua tu kama kuna watu watanasa ndo maana nikapiga screenshot mapema 🤣🤣🤣🤣Ukisikia aiiii! Ujue mtu kala za uso huko!
Sasa kabla haujachkua namba akikisha unawasiliana na sisi ma FBI mimi na kachero wenzangu beefinjectorTatizo wanaingia na id tofaut tofaut mpyaa!
Hauna akili.Kaka ni true story usinilaumu mana unanionea bure,mtoto alivokua analalamika kwenye sim hata laki ungetuma! Mtoto anasauti kama kinanda